Bubu Msemaovyo
Platinum Member
- May 9, 2007
- 4,189
- 3,552
Kuelekea katika kujibu swali lako, unazungumzia picha gani, still au video?... nataka ku-copy picha yoyote toka yutube kwenda katika FLASH je nifanyeje?
Unatakiwa ku-download video, kuna appication (software) mbali mbali zitakazo kuwezesha kufanya hivyo moja wapo ni RealPlayer Downloader (package ya RealPlayer) na inapatikana bure katika link hii:
RealPlayer | Free Software to Download, Save, Play, Edit, Convert, Copy, and Share Videos
Hakuna shida kaka, tuko wote.thanks mkuu..
Na mimi nataka nijue.......kama naweza kubadili video YouTube kuwa audio......
Naomba kujua pia kama kwa kutumia simu mfano samsung galaxy S1naweza download youtube videos na kuzisave kwenye simu yangu.....msaada wa haraka katika hilo.
Unatakiwa ku-download video, kuna appication (software) mbali mbali zitakazo kuwezesha kufanya hivyo moja wapo ni RealPlayer Downloader (package ya RealPlayer) na inapatikana bure katika link hii:
RealPlayer | Free Software to Download, Save, Play, Edit, Convert, Copy, and Share Videos
Wana JF Poleni na majukumu mbali mbali ya kujuzana mambo muhimu. Niende moja kwa moja kwenye ombi langu, nataka ku-copy picha yoyote toka yutube kwenda katika FLASH je nifanyeje? Naomba msaada wenu. Ninatanguliza shukrani nyingi.
yes u canNa mimi nataka nijue.......kama naweza kubadili video YouTube kuwa audio......
Nimefurahi kusikia umefanikiwa, hizi ni miongoni mwa faida za kuwepo kwa mambo kama haya.Hakika kwanza nashukuru sana kwa busara niliyotumia KUULIZA JINSI YA KUPATA PICHA KATIKA FLASH, la sivyo ningekuwa gizani hadi sasa. Nimefanikiwa Mkuu.