Copy & Paste From FB

Copy & Paste From FB

badshah

Member
Joined
Mar 16, 2013
Posts
51
Reaction score
33
Mwanamke Zuzu alikuwa na mchumba wake Zuzu,
baadaye uhusiano ulivunjika. Zuzu mwanaume alikuwa akimsumbua sana
kumpigia na km2mia sms yule mwanamke Zuzu kila
siku mpaka mwanamke Zuzu akawa anachukia. Zuzu mwanamke akaamua
abadili SimCard, alipoweka ile mpya tu akam2mia
sms Zuzu mwanaume ''Nishabadilisha namba
hutonipata tena hasidi wewe''... yule Zuzu
mwanaume akamjibu: "Nitahakikisha naitafuta hiyo
namba yako mpya mpka naipata...utanikomaa
 
:majani7::msela::msela::violin::violin::horn::clap2::drum::rockon:
 
Ahaa wamenichekesha sana

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom