Copy and Paste!

hahahaaa....!!! alishindwa kuandika nne ikabidi achole vidole vinne. kapatia. mia
 
mimi49 alikuwa haachi kitu katika kukopi heheh...

Nakumbuka sana alivyokuwa akinigezea wakati huo twasoma Bombo Primary...
Ha ha we si ndo ulikuwa ukinirushia tumba za ubuyu nikupe signal ya A,B au C kwenye multiple choice!
A>>>>ilikuwa pua naishika
B>>>>mashavu
C>>>>mdomo niufungue!Umesahau ehhh zile codes?
 
Ha ha we si ndo ulikuwa ukinirushia tumba za ubuyu nikupe signal ya A,B au C kwenye multiple choice!
A>>>>ilikuwa pua naishika
B>>>>mashavu
C>>>>mdomo niufungue!Umesahau ehhh zile codes?

Hahaha nitasahau vipi na sisi ndio tulikuwa lazima tuongoze....ukipata wewe 90% ulikuwa hutaki miye nicheze mbali ili tupate wote zawadi ya madaftari na kompasi
 
mimi49 alikuwa haachi kitu katika kukopi heheh...

Nakumbuka sana alivyokuwa akinigezea wakati huo twasoma Bombo Primary...

Hahahahahhaha umeoba eeeh afalu anasingizia mie
 
Last edited by a moderator:
mnakumbuka story ya anacopy from original wale walosoma biology?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…