Copy and paste...........report ya mabomu mbagala vs gongo la mboto

Technician

JF-Expert Member
Mar 30, 2010
841
222
I believe report itakayotolewa na waziri wa ulinzi na jeshi mfu la jkt atatoa report aliyotoa kwenye report ya mbagala.matukio haya yanafanana kwa kila chembe ya ukweli wake.sasa tusubiri kwenye kambi nyingine sijui inafuata ipi inabidi watueleze ili tuwe makini tuhame mapema kabisa maana wanataka wakae hapo Dar wenyewe tumewaingilia maeneo yao ya kujifunza camaflage technics.Jeshi bana we acha tuu....
 
Back
Top Bottom