Joseph Ludovick
JF-Expert Member
- Aug 11, 2013
- 382
- 506
SahihiKatika uchambuzi wa sababu zinazoweza kuzuia mafanikio ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kuna hoja yenye nguvu kwamba CHADEMA imeiga kwa kiasi kikubwa mifumo ya Chama Cha Mapinduzi (CCM). Ingawa CHADEMA kinajitambulisha kama chama cha upinzani, mifumo yake ya ndani ya kiutawala, vikao, vyeo, jumuiya, na sera zinaonekana kuwa na mfanano mkubwa na zile za CCM, hali ambayo inaweza kudhoofisha juhudi zake za kujitofautisha na kuleta mabadiliko halisi.
Kwanza, muundo wa chama ni eneo ambalo CHADEMA inaonekana kufuata nyayo za CCM. Ingawa CHADEMA imefeli kuwa na mtandao mpana wa kiutawala kuanzia ngazi ya taifa hadi ngazi za chini, ambapo kuna vikao na viongozi katika kila ngazi. Mfumo huu wa kihierarakia, kama ulivyokopiwa kutoka CCM bila mafanikio unakipa chama sura bandia, urasimu na ugumu wa kuleta mageuzi ya haraka ambayo wanachama wengi wa upinzani wanayahitaji. Hali hii ya kutumia muundo wa kiutawala unaofanana inapelekea wanachama na wapiga kura kuona ugumu wa kutofautisha dhana za kiutendaji kati ya vyama hivyo viwili, na hivyo kushusha imani yao kwamba CHADEMA ni mbadala bora.
Pili, suala la vyeo na nafasi za uongozi ndani ya CHADEMA pia linaonyesha mfanano mkubwa na CCM. Isipokuwa CHADEMA imejenga mfumo wa uongozi unaoongozwa na vyeo vingi visivyo na tija kwa sababu ni chama kidogo. Nafasi za juu zinadhibitiwa na watu wachache wenye ushawishi mkubwa kwenye CHADEMA. Mfumo huu wa kuendeshwa na viongozi wachache wenye nguvu ni kielelezo cha Umangimeza ambazo zimekuwa zikitawala kwa muda mrefu, jambo linalowafanya wanachama wa CHADEMA kushindwa kujiona kuwa na nafasi ya uongozi ndani ya chama chao
Tatu, CHADEMA imekopi kwa CCM dhana ya jumuiya mbalimbali kama vile jumuiya ya wanawake, vijana, na wazazi. Mfumo wa kuwa na jumuiya hizi unakinzana na wito wa mabadiliko kwa kuwa hauna utofauti mkubwa na jumuiya za CCM, ambazo zimekuwa zikitumika kama vyombo vya kisiasa na kuwa sehemu za kuwasaidia wanachama. Kwa CHADEMA jumuiya hizi imekuwa sehemu ya kuwapatia marafiki wa viongozi, ama hata wapenzi wao nafasi. Kwa muktadha huo, mabadiliko ya kweli ya kisiasa yanakuwa magumu kufikiwa.
Hatimaye, kwenye sera, CHADEMA imekuwa ikipigia debe sera zinazoshabihiana na zile ambazo CCM huzipigia debe, kama vile ajira kwa vijana, elimu bure, na kuboresha miundombinu. Kwa kuwa sera hizi ni zile zile ambazo CCM pia huzitetea, CHADEMA inapoteza mvuto wa kuwa na dira ya kipekee, jambo linalowafanya wapiga kura kuona tofauti ndogo sana kati ya vyama hivyo viwili.
Kwa ujumla, kwa kuiga mifumo ya CCM katika nyanja mbalimbali, CHADEMA inajikuta ikishindwa kujitofautisha kama chama mbadala chenye uwezo wa kuleta mabadiliko halisi. Mfanano huu unazidisha ugumu wa chama hicho kufanikiwa kwa kiwango kikubwa, hasa wakati wanachama na wapiga kura wanapohisi kuwa hakuna ubunifu wa kweli katika utawala wa chama hicho. Hata yale wanayoiga yanawashinda kuiga kwa usahihi.
Unaweza ku propose waunde jumuiya za namna gani ambazo zitakuwa ni tofauti na za Chama tawala lakini zitakidhi takwa la kisiasa la kuwaunganisha watanzania kufikia malengo Yao?Wanacopi kila kitu mpaka inakera....
Nitakuja kukujibu maudhui yote ya andiko lako baadae kidogo!!Katika uchambuzi wa sababu zinazoweza kuzuia mafanikio ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kuna hoja yenye nguvu kwamba CHADEMA imeiga kwa kiasi kikubwa mifumo ya Chama Cha Mapinduzi (CCM). Ingawa CHADEMA kinajitambulisha kama chama cha upinzani, mifumo yake ya ndani ya kiutawala, vikao, vyeo, jumuiya, na sera zinaonekana kuwa na mfanano mkubwa na zile za CCM, hali ambayo inaweza kudhoofisha juhudi zake za kujitofautisha na kuleta mabadiliko halisi.
Kwanza, muundo wa chama ni eneo ambalo CHADEMA inaonekana kufuata nyayo za CCM. Ingawa CHADEMA imefeli kuwa na mtandao mpana wa kiutawala kuanzia ngazi ya taifa hadi ngazi za chini, ambapo kuna vikao na viongozi katika kila ngazi. Mfumo huu wa kihierarakia, kama ulivyokopiwa kutoka CCM bila mafanikio unakipa chama sura bandia, urasimu na ugumu wa kuleta mageuzi ya haraka ambayo wanachama wengi wa upinzani wanayahitaji. Hali hii ya kutumia muundo wa kiutawala unaofanana inapelekea wanachama na wapiga kura kuona ugumu wa kutofautisha dhana za kiutendaji kati ya vyama hivyo viwili, na hivyo kushusha imani yao kwamba CHADEMA ni mbadala bora.
Pili, suala la vyeo na nafasi za uongozi ndani ya CHADEMA pia linaonyesha mfanano mkubwa na CCM. Isipokuwa CHADEMA imejenga mfumo wa uongozi unaoongozwa na vyeo vingi visivyo na tija kwa sababu ni chama kidogo. Nafasi za juu zinadhibitiwa na watu wachache wenye ushawishi mkubwa kwenye CHADEMA. Mfumo huu wa kuendeshwa na viongozi wachache wenye nguvu ni kielelezo cha Umangimeza ambazo zimekuwa zikitawala kwa muda mrefu, jambo linalowafanya wanachama wa CHADEMA kushindwa kujiona kuwa na nafasi ya uongozi ndani ya chama chao
Tatu, CHADEMA imekopi kwa CCM dhana ya jumuiya mbalimbali kama vile jumuiya ya wanawake, vijana, na wazazi. Mfumo wa kuwa na jumuiya hizi unakinzana na wito wa mabadiliko kwa kuwa hauna utofauti mkubwa na jumuiya za CCM, ambazo zimekuwa zikitumika kama vyombo vya kisiasa na kuwa sehemu za kuwasaidia wanachama. Kwa CHADEMA jumuiya hizi imekuwa sehemu ya kuwapatia marafiki wa viongozi, ama hata wapenzi wao nafasi. Kwa muktadha huo, mabadiliko ya kweli ya kisiasa yanakuwa magumu kufikiwa.
Hatimaye, kwenye sera, CHADEMA imekuwa ikipigia debe sera zinazoshabihiana na zile ambazo CCM huzipigia debe, kama vile ajira kwa vijana, elimu bure, na kuboresha miundombinu. Kwa kuwa sera hizi ni zile zile ambazo CCM pia huzitetea, CHADEMA inapoteza mvuto wa kuwa na dira ya kipekee, jambo linalowafanya wapiga kura kuona tofauti ndogo sana kati ya vyama hivyo viwili.
Kwa ujumla, kwa kuiga mifumo ya CCM katika nyanja mbalimbali, CHADEMA inajikuta ikishindwa kujitofautisha kama chama mbadala chenye uwezo wa kuleta mabadiliko halisi. Mfanano huu unazidisha ugumu wa chama hicho kufanikiwa kwa kiwango kikubwa, hasa wakati wanachama na wapiga kura wanapohisi kuwa hakuna ubunifu wa kweli katika utawala wa chama hicho. Hata yale wanayoiga yanawashinda kuiga kwa usahihi.
Chadema ni chama kinachosinyaa kila uchao ,unakuwaje na viongozi ambao wengi wao hawana uelewa wa issues kwa mapana yake ?Katika uchambuzi wa sababu zinazoweza kuzuia mafanikio ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kuna hoja yenye nguvu kwamba CHADEMA imeiga kwa kiasi kikubwa mifumo ya Chama Cha Mapinduzi (CCM). Ingawa CHADEMA kinajitambulisha kama chama cha upinzani, mifumo yake ya ndani ya kiutawala, vikao, vyeo, jumuiya, na sera zinaonekana kuwa na mfanano mkubwa na zile za CCM, hali ambayo inaweza kudhoofisha juhudi zake za kujitofautisha na kuleta mabadiliko halisi.
Kwanza, muundo wa chama ni eneo ambalo CHADEMA inaonekana kufuata nyayo za CCM. Ingawa CHADEMA imefeli kuwa na mtandao mpana wa kiutawala kuanzia ngazi ya taifa hadi ngazi za chini, ambapo kuna vikao na viongozi katika kila ngazi. Mfumo huu wa kihierarakia, kama ulivyokopiwa kutoka CCM bila mafanikio unakipa chama sura bandia, urasimu na ugumu wa kuleta mageuzi ya haraka ambayo wanachama wengi wa upinzani wanayahitaji. Hali hii ya kutumia muundo wa kiutawala unaofanana inapelekea wanachama na wapiga kura kuona ugumu wa kutofautisha dhana za kiutendaji kati ya vyama hivyo viwili, na hivyo kushusha imani yao kwamba CHADEMA ni mbadala bora.
Pili, suala la vyeo na nafasi za uongozi ndani ya CHADEMA pia linaonyesha mfanano mkubwa na CCM. Isipokuwa CHADEMA imejenga mfumo wa uongozi unaoongozwa na vyeo vingi visivyo na tija kwa sababu ni chama kidogo. Nafasi za juu zinadhibitiwa na watu wachache wenye ushawishi mkubwa kwenye CHADEMA. Mfumo huu wa kuendeshwa na viongozi wachache wenye nguvu ni kielelezo cha Umangimeza ambazo zimekuwa zikitawala kwa muda mrefu, jambo linalowafanya wanachama wa CHADEMA kushindwa kujiona kuwa na nafasi ya uongozi ndani ya chama chao
Tatu, CHADEMA imekopi kwa CCM dhana ya jumuiya mbalimbali kama vile jumuiya ya wanawake, vijana, na wazazi. Mfumo wa kuwa na jumuiya hizi unakinzana na wito wa mabadiliko kwa kuwa hauna utofauti mkubwa na jumuiya za CCM, ambazo zimekuwa zikitumika kama vyombo vya kisiasa na kuwa sehemu za kuwasaidia wanachama. Kwa CHADEMA jumuiya hizi imekuwa sehemu ya kuwapatia marafiki wa viongozi, ama hata wapenzi wao nafasi. Kwa muktadha huo, mabadiliko ya kweli ya kisiasa yanakuwa magumu kufikiwa.
Hatimaye, kwenye sera, CHADEMA imekuwa ikipigia debe sera zinazoshabihiana na zile ambazo CCM huzipigia debe, kama vile ajira kwa vijana, elimu bure, na kuboresha miundombinu. Kwa kuwa sera hizi ni zile zile ambazo CCM pia huzitetea, CHADEMA inapoteza mvuto wa kuwa na dira ya kipekee, jambo linalowafanya wapiga kura kuona tofauti ndogo sana kati ya vyama hivyo viwili.
Kwa ujumla, kwa kuiga mifumo ya CCM katika nyanja mbalimbali, CHADEMA inajikuta ikishindwa kujitofautisha kama chama mbadala chenye uwezo wa kuleta mabadiliko halisi. Mfanano huu unazidisha ugumu wa chama hicho kufanikiwa kwa kiwango kikubwa, hasa wakati wanachama na wapiga kura wanapohisi kuwa hakuna ubunifu wa kweli katika utawala wa chama hicho. Hata yale wanayoiga yanawashinda kuiga kwa usahihi.
Kinasinyaa wakati CCM chama dola kinahahaa kuwakandamiza CHADEMA kila uchao, kuua,kuteka,kuzuia maandamano, makongamano, harassment kwa wanachama na Viongozi,eti kinasinyaa, labda anasinyaa M.K.............wako😀🤣🤔Chadema ni chama kinachosinyaa kila uchao ,unakuwaje na viongozi ambao wengi wao hawana uelewa wa issues kwa mapana yake ?
Ni lazima kuwa na hizo jumuiya in the first place? Chama cha kibepari tangu lini kikawa na jumuiya. Kaka hamuwezi nikodiaheni niwachoree stricture na oganaizesheni makini. Kuiga CCM hakutawafikisha popoteUnaweza ku propose waunde jumuiya za namna gani ambazo zitakuwa ni tofauti na za Chama tawala lakini zitakidhi takwa la kisiasa la kuwaunganisha watanzania kufikia malengo Yao?
Katibu mkuu wa zamani na msomi aliegukuzwa chadema na waliokimbia umande yuko kwenye rekodi kuwa chama chake kilikuwa kinateka wanachama wake wenyewe ili kutafuta huruma ya wananchi .Kinasinyaa wakati CCM chama dola kinahahaa kuwakandamiza CHADEMA kila uchao, kuua,kuteka,kuzuia maandamano, makongamano, harassment kwa wanachama na Viongozi,eti kinasinyaa, labda anasinyaa M.K.............wako😀🤣🤔
Kwa nini hao vijana kama wwlikuwa groomed vizuri wahame na kukiacha chama kilichowagroom?Nitakuja kukujibu maudhui yote ya andiko lako baadae kidogo!!
Kifupi UNATAFUTA CHEO CHA KUTEULIWA ndio maana nyuzi zako nyingi za kupondea CHADEMA.
Brooo chagua kazi nyingine!!
1.Magonjwa Mtambuka
2.Kipara Kipya
3.Luke Mwashambwa
Kuwataja wachache, Bado wanasugua gaga , na Lumumba Kuna vijana wengi hawajapata teuzi!!
Mtu mzima unaonekana educated unaingia kwenye mtego wa UCHAWA.🤔🤔🤔 Shame on you!!
Yaani Maandiko yako Yana lack of objectivity.
"eti CHADEMA inajitambulisha kama chama Cha upinzani"
CHADEMA imesajiliwa kama Chama Cha upinzani,huo ndio Ukweli.
CCM imechukua vitu vingi CHADEMA, hasa vijana waliokuwa gloomed na CHADEMA, na kuwapa uwaziri unaibu waziri!!
Wewe inaonekana ni mgeni hapa TZ ulikuwa unaishi nje ya nchi, au umeanza mwezi huu kufuatilia siasa za bongo.
Kuwa mkweli Brooo UNAFIKI haulipi.
🤔🤔🤔
Toa hoja achana na kushambuliana …Tujengeni hoja na facts jamani aseeNitakuja kukujibu maudhui yote ya andiko lako baadae kidogo!!
Kifupi UNATAFUTA CHEO CHA KUTEULIWA ndio maana nyuzi zako nyingi za kupondea CHADEMA.
Brooo chagua kazi nyingine!!
1.Magonjwa Mtambuka
2.Kipara Kipya
3.Luke Mwashambwa
Kuwataja wachache, Bado wanasugua gaga , na Lumumba Kuna vijana wengi hawajapata teuzi!!
Mtu mzima unaonekana educated unaingia kwenye mtego wa UCHAWA.🤔🤔🤔 Shame on you!!
Yaani Maandiko yako Yana lack of objectivity.
"eti CHADEMA inajitambulisha kama chama Cha upinzani"
CHADEMA imesajiliwa kama Chama Cha upinzani,huo ndio Ukweli.
CCM imechukua vitu vingi CHADEMA, hasa vijana waliokuwa gloomed na CHADEMA, na kuwapa uwaziri unaibu waziri!!
Wewe inaonekana ni mgeni hapa TZ ulikuwa unaishi nje ya nchi, au umeanza mwezi huu kufuatilia siasa za bongo.
Kuwa mkweli Brooo UNAFIKI haulipi.
🤔🤔🤔
Sina hakika kama una Nia njema na CDM! Kama unafikia kusema vyama vya kibepari havina jumuiya, wakati nimeipitia Republican Party cha Marekani na nimeikuta kina jumuiya kama zote, niandike nini Sasa zaidi ya kusema huna Nia njema na Chadema! Hata hivyo, Chadema wanajijua watakuwa kutoa maoni Yao.Ni lazima kuwa na hizo jumuiya in the first place? Chama cha kibepari tangu lini kikawa na jumuiya. Kaka hamuwezi nikodiaheni niwachoree stricture na oganaizesheni makini. Kuiga CCM hakutawafikisha popote
Inaonekana hujui maana ya facts.Toa hoja achana na kushambuliana …Tujengeni hoja na facts jamani asee
Hiyo ilikuwa ni kete kwa CCM mbona haikufanya kitu??Katibu mkuu wa zamani na msomi aliegukuzwa chadema na waliokimbia umande yuko kwenye rekodi kuwa chama chake kilikuwa kinateka wanachama wake wenyewe ili kutafuta huruma ya wananchi .
Hivi unajua kuhama Kwao nyuma yake kulikuwa na nini??Kwa nini hao vijana kama wwlikuwa groomed vizuri wahame na kukiacha chama kilichowagroom?
"Kinyesi cha sebuleni kina harufu kuliko cha chooni...." Dr. Slaa
Hujaona facts???Toa hoja achana na kushambuliana …Tujengeni hoja na facts jamani asee
Imejikita kwa CHADEMA kwa sabbu wana mdomo sanaMtoa mada;
Kuna vyama vingi hapa nchini, je wote wana muundo sawa na Chadema na CCM? Kama ndiyo kwanini? Kama hapana wanakua zaidi ya CHADEMA?
Je; kuna sheria ya vyama vya siasa inalazimisha kuwepo na muundo wa uongozi wa vyama vya siasa?
Je; ni nchi gani inayo muundo tofauti ya Chadema na CCM na kwanini? Hakuna sheria inayolinda hizi muundo?
Je; kwanini hoja yako imejikita kwenye chama kimoja cha siasa CHADEMA badala ya vyama vya siasa vilivyoundwa baada ya CCM kuanzishwa?
Tafiti yako ni ipi kuhusiana na muundo wa CHADEMA kuwa inasababisha chama kusinyaa badala ya kukua?