Copier machine, Xerox 7225

H52

Member
Joined
Sep 6, 2020
Posts
18
Reaction score
7
Waungwana Nina photo copy machine tajwa hapo juu,tangu nimekuwa nayo nashindwa kutumia printer yake maana Sina drivers zake.Cd nayo iligoma kuwa installed kwenye pc.nimejaribu kudownload drivers kupitia chrome pia mafanikio hakuna.mwenye maarifa na Jambo hili naomba msaada wake
 
Je umeupdate firmware yake ni latest?
 
Hata sifahamu firmware ndo kitu gn ndugu
Basi mtafte mtaalam akusaidie maana according page ya driver, lazima iwe ina firmware latest ili kutumia hizo drivers
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…