Davet
JF-Expert Member
- Apr 5, 2013
- 42,377
- 205,773
Mpaka lini mkuu?Game itapangwa tarehe nyingine mkuu
Mpaka lini mkuu?Game itapangwa tarehe nyingine mkuu
Mpaka lini mkuu?
PamojaHawakutaja tarehe mkuu, ntawajuza!
Mpaka lini mkuu?
Duuh imekimbizwa hadi december tena?CONMEBOL held a meeting on Tuesday attended by River and Boca's presidents, after which South America's governing body said the final will be played on either December 8 or 9.
Ndiyo kiongoziDuuh imekimbizwa hadi december tena?
Sawa mkuu tuombe uzimaNdiyo kiongozi
Sawa mkuu tuombe uzima
Hahahaa ni balaa kiongoziHizi mechi huwa zina balaa sana hizi,
Naona kwa sababu za kiusalama kwenye both legs mashabiki wa visiting team hawaruhusiwi kuingia uwanjani, maana wanajua wahuni wana vichwa vibovu
Kuna jamaa yangu alii-bet hiyo gemu,mechi zote zimetoa anaisubiri hiyo tu,