aisee hatari sana
Vilevile kilikuwa na Juan Ramon requilme na Juan Sebastian Veron . Ukizungumzia Boca junior ndiyo umezungumzia Argentina .Ndiyo timu kongwe kuliko zote ArgentinaYeah kamanda. Kwa sasa yupo carlos tevez pale
Vilevile kilikuwa na Juan Ramon requilme na Juan Sebastian Veron . Ukizungumzia Boca junior ndiyo umezungumzia Argentina .Ndiyo timu kongwe kuliko zote Argentina
Mashabiki wa hizi timu huwa ni vichaaDerby kali sana hii, binafsi baada ya Barca na Madrid inafutia hii.
Fernando redondo wa Real Madrid alipitia boca?Kulikuwa na Hugo Ibarra, Rodolfo Arruabarrena, Diego Cagna, Enzo Ferrero, Roberto Abbondanzieri, Nicolás Burdisso, Fernando Gago, Diego Maradona, Claudio Caniggia..fernando gago i think hadi sasa yupo anacheza
Mashabiki wa hizi timu huwa ni vichaa
Fernando redondo wa Real Madrid alipitia boca?
Hivi maana ya derby Sikh hizi imebadilika? Pili naskia game imehairishwa kwa kuwa mashabiki wa RP kushambulia basi la wachezaji wa BJDerby kali sana hii, binafsi baada ya Barca na Madrid inafutia hii.
Ndiyo umesimamishwa mkuu, mpaka hapo leo saa 5 kamili za usiku, ni baada ya vurumai kubwa kutokea na baadhi ya wachezaji kuumizwa..Hivi maana ya derby Sikh hizi imebadilika? Pili naskia game imehairishwa kwa kuwa mashabiki wa RP kushambulia basi la wachezaji wa BJ
Game ndio inaanza sio?
Inaonesha hakuna mechi