Ituzaingo Argentina
JF-Expert Member
- Jun 20, 2020
- 1,870
- 2,176
Watani wa jadi huko Amerika ya kusini, wanakutana leo hii, game linapigwa saa 23:00/saa tano kamili za usiku
Boca Juniors and River Plate
Estadio Alberto Jose Armando, Ciudad de Buenos Aires, Argentina..
Karibuni wadau wenzangu!
Mimi nipo na BOCA a.k.a Labombonera, wewe mwenzangu? 😃