Copa de la Rey El Classico: Messi vs Ronaldo battle continues

Copa de la Rey El Classico: Messi vs Ronaldo battle continues

Replacement ya Messi nani kaingia maana sijaona????
 
Hii Baca km timu ya Kata jamani yaani tangu ipigwe na Ac Milan imechanganyikiwa.
 
Yaani huyu Kocha msaidizi wa Baca atafukuzwa kwa niaba ya Kocha Mkuu aliyelazwa

Baca 0-3Real.
 
Back
Top Bottom