ndupa
JF-Expert Member
- Jan 25, 2008
- 4,403
- 151
hahahahaha haina tabu....dawa ya barca morinho anayo tokea kipindi kileeeee....ambapo hadi gadiola akajiuzulu...sasas ngoja uone mambo yatavyo kua!!!!!leo hamchomoki Madrid
hahahahaha haina tabu....dawa ya barca morinho anayo tokea kipindi kileeeee....ambapo hadi gadiola akajiuzulu...sasas ngoja uone mambo yatavyo kua!!!!!leo hamchomoki Madrid
May be!! Barca are in a great shape,so is Lionel Messi!! I smell blood,Madrid might be easily sucked!!
hahahahaha haina tabu....dawa ya barca morinho anayo tokea kipindi kileeeee....ambapo hadi gadiola akajiuzulu...sasas ngoja uone mambo yatavyo kua!!!!!
kitu kitakacho waponza barca ni kujua wazi madrid ni mbovu na kujua watashinda muda wowote ila kingine upande wa madrid ni kujiona wameshafungwa hapo lakini hawatataka kutokea santigo zaidi ya kwenda camp nou na kutolewa huko.
I Bet draw at S bernabeu..
hilo sipingi hata kidogo....ni ukweli usiopingika kwamba wapo kwenye hali ngum kwa sasa hasa kwa kukosekana casilas, lakin jua wanacheza na barca na ni timu zenye ushindani,naiman hata tofauti wataweka pemben na kupiga ball!!! mimi nawapa nafasi madrid kushinda!!!!Ckia mkuu, ukiiangalia Madrid ya leo imekosa wachezaji wake wengi wenye uzoefu kama Iker, Pepe, Di Maria, Coentrao. Na kikubwa zaid ni Mgogoro uliopo ndani ya Club. Na kwa sasa hakuna Club iliyokwenye moto wa kuotea mbali kama Barca
hilo sipingi hata kidogo....ni ukweli usiopingika kwamba wapo kwenye hali ngum kwa sasa hasa kwa kukosekana casilas, lakin jua wanacheza na barca na ni timu zenye ushindani,naiman hata tofauti wataweka pemben na kupiga ball!!! mimi nawapa nafasi madrid kushinda!!!!
hilo pia linaweza tokea ila jua kama usipombanjua barca santiago nou camb itakuaje?? all the same this is a game and every body has a chance to win!!! na kama wakilinda basa gemu haitakua na mvuto!!!Kwa kweli ushindi kwa Madrid leo ni kitu kigumu sanaaa, usishangae leo waka-defence ila wasipate matokeo mabaya, ili wakapgane vilivyo Camp Nou kwan watakuwa wamekamilika isipokuwa Iker.
hilo pia linaweza tokea ila jua kama usipombanjua barca santiago nou camb itakuaje?? all the same this is a game and every body has a chance to win!!! na kama wakilinda basa gemu haitakua na mvuto!!!
Tommorow's El-classico tie between Barcelona and Real Madrid at Santiago Bernabeu will be crucial to each of the teams and mostly for Real Madrid.. Real Madrid are 15 points behind Barcelona in la liga and mostly likely they wont be able to catch the Blaugrana who are in great form.They are still in the running for the Champions league glory,but the CL is not a competition you can easily grab. So Copa de la Rey will be crucial to save Real Madrid's season and ensure they dont end up with a trophyless season. However Barcelona are also interested in having a great season, with possibilty of acquiring at least two trophies in their belt. Ronaldo needs to guide Madrid to victory at Santiago Bernabeu to stand a chance of qualifying for the final and dump out Barca. Lionel Messi needs to prove he is the best player in the world by guiding Barca to conquer the Bernabeu helm again.In the end it will be a battle of who deserves to be in the Copa de la rey final,a battle between two top players in the world! Lionel Messi and Christiano Ronaldo..remains to be seen!!
"Dont ask me if I know football or not,just throw a ball in the neighbourhood "
Hapa tu kwenye hii thread tayari madrid kashwapigwa 3 - 1
Ilo moja limetokea wapi?
yah thats a fact....but it doesn't mean that they don't have a chance to win....remember!!!!
Mkuu yaan una maana Madrid wont manage even a single goal pass Valdez?
Valdes sijampanga, Golini yupo PINTO.
Haya bana, yangu macho!
beki unampanga nan leo?