Copa de la Rey El Classico: Messi vs Ronaldo battle continues

Copa de la Rey El Classico: Messi vs Ronaldo battle continues

Niko kimyaaaa naenjoy match na captain Morgan hapa, Messi cjui nesi asubiri mmewe Mexes aje kumalizia kazi hapo nyumban kwao kwa kuhamia!
 
Naona Baca ina majina si mpira.
Ac Milani nao watakuja kunyoa kiaina.

Baca imeoza km nini.
 
Kocha msadizi wa Baca atafukuzwa kazi kwa niaba ya Kocha Mkuu aliyelazwa kwa ugonjwa wa Moyo.

Ac Milan watawauwa hawa Baca yaani wachoka.
 
Kocha msadizi wa Baca atafukuzwa kazi kwa niaba ya Kocha Mkuu aliyelazwa kwa ugonjwa wa Moyo.

Ac Milan watawauwa hawa Baca yaani wachoka.

Niliwahi kusema Barca ni mimavi tu...
Nasikitika utawala wao umedumu kwa kipindi kifupi sana.
Halafu eti Pique tunaambiwa ni moja kati ya mabeki booora kabisa Duniani...

Dah
 
Niliwahi kusema Barca ni mimavi tu...
Nasikitika utawala wao umedumu kwa kipindi kifupi sana.
Halafu eti Pique tunaambiwa ni moja kati ya mabeki booora kabisa Duniani...

Dah

Yaan huwa nasikia kichefuchefu kusikia ushuzi huo, Pique anazidiwa hata na Ryan Showcross wa Stoke City
 
Back
Top Bottom