Huyu Martha yupo hapa na nadhani keshasikia,na sio mara ya kwanza kusikia habari zake.
Kazi ya Mungu ifanye kwa moyo,na kuwa mwakilishi wa SCOAN Tanz sio ndo mbinguni bibi we.. Jirekebishe.
#kirohosafi #
Hapa kuna personal conflict na ndiyo maana unaona hata mlalamikaji hana maelezo ya moja kwa moja juu ya vitendo ambavyo hajapendezwa navyo! Me naamini kuna Customer care & service nzuri tuu ndani ya Tanzania! Unayesema Tanzania hatupo vizuri katika kuhudumia wateja hadi wanaletwa Ma-meneja wa kenya umeangalia kitu kidogo sana.. Sasa umesahau meneja ni mmoja wafanyakazi 50, Je Meneja ndo anatoa huduma? Anyekutana na wateja muda wote ni nani? Ukiona mtu analeta fitina hadi kwenye Taasisi za kidini ujue huyo ameshapotea..
Bahalulu una cha zaidi ndugu yangu?Unajua watu wanaongea ushabiki tu mimi ninaushahidi kuna mtu ametozwa dolla 1700 kwajili ya kwenda SCOAN, toka mwezi wakwanza mpaka leo hajaenda anazunguushwa tu na kujibiwa majibu ya dhihaka na karaha. Mimi niliangalia tiketi mwezi wa nne kwenda SCOAN mtu mmoja ilikuwa ina gharimu tiketi tu dolla 750. Ukiweka malazi na chakula inaweza ikafika dolla 1100. Sasa huu si wizi halafu wakirudi anawarudishia dolla 100 watu wanafurahi wanasema ni muaminifu hakuna kitu mwizi mkubwa yule.
Siwezi fikia huko, l mean kumsemea uongo mtumishi wa Mungu kwa mapungufu ya one insignificant individual.
T.B Joshua is one of the few humble man na hata mkewe pia.
Madhaifu ya Martha ni ya kwake, na ndio maana wanaohudumu scoan ni wastaarabu sana.
Jamani Watanzania tuache upumbavu maana hata bwana mungu amesema watu wangu wanateketea kwa kukosa maarifa. Scoan ni mojawapo ya maarifa bwana aliiyotuletea ili tupone. Martha ni kituko hujawahi kuona, coordination siyo kitu kigumu jamani, ni kitui cha kawaida hakihitaji elimu ya ajabu. Tusikubali Martha atunyime mamilioni ya watanzania maarifa ambayo siyo yake. Hata kwa sisi tuliokwisha fika scoan huko nyuma hakuna tabia hizi chafu huko si kwa prophet mwenyewe, wala ma wisemen wala ma evangelist ambao ndio wanaotuhudumia mchana na usiku. Martha atolewe tumuandikie TB joshua anuani zake zimo kwenye website kwa nguvu zote, watanzania tunahangaika wakati solution imezibwa na mtu mmoja mjinga mwenye kiburi tu kwa kuwa ameolewa na mzungu. Nchi ambazo zina coordinator wazuri wanasafiri kila siku, nchi kama south Africa, Kenya, watu wa west africa wanabadilika na kufanikiwa, Huyu mpuuzi anatu treat kama vile sisi watumishi wake, na wale vibaraka wake ndio wanajiona kama miungu. Sasa kuna sababu gani ya kusema kuwa ofisi iko wazi saa moja mpaka saba mchana wakati muda huo hayupo na vile vitoto vya darasa la nne vinavyokaa pale havina uwezo wa kukupa taarifa zozote? anakkusanya hela za watu na kukaa nazo benk miezi halafu ukitaka kurudishiwa eti anakukuta.
Tumeshauriwa na scoan wenyewe kama tunamalalamiko tuwasiliane nao, mimi nawahamasisha tuanze kuandika kwenyew facebook, email na hata kupiga simu kwako tuwaeleze huyu bibie arudi kushughulika na wanaume wa kizungu ndio analoweza.
Nachukizwa sana na watu humu ndani wanaotaka kuburuzwa na kujaa woga hata katika mambo ya kimungu. Nani kasema kwa mambo ya kimungu tuburuzwe tu? huyu mama hata ukienda na upako wake atakukwaza. Kan'gan'gania wanaomramba miguu, na mafisadi wakina Blandina Nyoni eti ndio wako kimbelembele hiyo diamond kwa nini hakuto utaratibu anasumbua watu wanabeba wagonjwa wao toka muhimbili ukifika pale huna jibu la nini cha kufanya na wala uanzie wapi. Watanzania wanaleta mchezo hata kwenye uhai na maisha ya watu, serikali itusumbue na Martha Kaaya pia? hebu angalieni wa afrika kusini wangapi, wakenya wangapi wengine wanatoka mpaka amerika watu wanamiminika kupokea uponyaji sisi huyu kilaza anajifanya mungu mtu. Nawaomba sana wanaowasiliana na prophet pia wamwambie habari ya uzi huu tumechoswa na huyu mama.

Unajua watu wanaongea ushabiki tu mimi ninaushahidi kuna mtu ametozwa dolla 1700 kwajili ya kwenda SCOAN, toka mwezi wakwanza mpaka leo hajaenda anazunguushwa tu na kujibiwa majibu ya dhihaka na karaha. Mimi niliangalia tiketi mwezi wa nne kwenda SCOAN mtu mmoja ilikuwa ina gharimu tiketi tu dolla 750. Ukiweka malazi na chakula inaweza ikafika dolla 1100. Sasa huu si wizi halafu wakirudi dolla 100 watu wanafurahi wanasema ni muaminifu hakuna kitu mwizi mkubwa yule.
Kipindi cha nyuma alikusanya pesa zaidi tb joshua akamwambia awarudishie watu.
Niliwahi kwenda pale benj mkapa kuchukua maji yani wote tuliokuwa pale tulikoma. Mtu katoka mkoani anaambiwa aje kesho plus nyodo kibao. Cha kushangaza tb joshua mwenyewe yuko simple na mnyenyekevu sana ila hawa macoordinator kwa kweli wana kiburi sana, watu hawawezi kulalamika bure, mtu anajidai utafikiri yeye ndo wise man. Mungu awasamehe bure
Hija ya walokole kumbe iko Nigeria !
Unajua watu wanaongea ushabiki tu mimi ninaushahidi kuna mtu ametozwa dolla 1700 kwajili ya kwenda SCOAN, toka mwezi wakwanza mpaka leo hajaenda anazunguushwa tu na kujibiwa majibu ya dhihaka na karaha. Mimi niliangalia tiketi mwezi wa nne kwenda SCOAN mtu mmoja ilikuwa ina gharimu tiketi tu dolla 750. Ukiweka malazi na chakula inaweza ikafika dolla 1100. Sasa huu si wizi halafu wakirudi anawarudishia dolla 100 watu wanafurahi wanasema ni muaminifu hakuna kitu mwizi mkubwa yule.
nndondo umemaliza kila kitu.Jamani Watanzania tuache upumbavu maana hata bwana mungu amesema watu wangu wanateketea kwa kukosa maarifa. Scoan ni mojawapo ya maarifa bwana aliiyotuletea ili tupone. Martha ni kituko hujawahi kuona, coordination siyo kitu kigumu jamani, ni kitui cha kawaida hakihitaji elimu ya ajabu. Tusikubali Martha atunyime mamilioni ya watanzania maarifa ambayo siyo yake. Hata kwa sisi tuliokwisha fika scoan huko nyuma hakuna tabia hizi chafu huko si kwa prophet mwenyewe, wala ma wisemen wala ma evangelist ambao ndio wanaotuhudumia mchana na usiku. Martha atolewe tumuandikie TB joshua anuani zake zimo kwenye website kwa nguvu zote, watanzania tunahangaika wakati solution imezibwa na mtu mmoja mjinga mwenye kiburi tu kwa kuwa ameolewa na mzungu. Nchi ambazo zina coordinator wazuri wanasafiri kila siku, nchi kama south Africa, Kenya, watu wa west africa wanabadilika na kufanikiwa, Huyu mpuuzi anatu treat kama vile sisi watumishi wake, na wale vibaraka wake ndio wanajiona kama miungu. Sasa kuna sababu gani ya kusema kuwa ofisi iko wazi saa moja mpaka saba mchana wakati muda huo hayupo na vile vitoto vya darasa la nne vinavyokaa pale havina uwezo wa kukupa taarifa zozote? anakkusanya hela za watu na kukaa nazo benk miezi halafu ukitaka kurudishiwa eti anakukuta.