Coordinator wa SCOAN Tanzania


Huyu mama ni mpumbavu sana, ndiyomaana walilshindwa kumvumilia PPF tower wakamtimua kaja kubanana pale Mkapa tower. Majib yake ni ya kishetani mno. Sumba - wanga wala usijali bila hata yeye we can. Ila watanzania improve customer care, udhaifu siyo pale kwake tu, hata sehemu zingine tumeonyesha udhaifu mno.
 

Ajabu ni kwa nini hawataki kuambiwa ukweli?
Kutafuta huduma za kiroho ndio chanzo cha kunyanyaswa???
 

Chupaku you could not say better!!!
 
Last edited by a moderator:
päiva;6435571 said:
Njia nyingine ya kwenda SCOAN ni kufuata maelekezo yaliyoko kwenye website yao wala huhitaji kupitia kwa mtu. Nimeshafanya hivyo mara tatu na kufanikiwa. Ubarikiwe sana.

Naomba jinsi ya kufanya.
Naomba utueleze jinsi ya kufanya na jinsi ya kwenda.
Nimejaribu mara nyingi na web site yao hai respond kabisa.
Naomba msaada niachane na karaha za Martha.
 
Mkuu Chupaku nimeanza kuamini haya madai ni ya kweli maana wanaJF wengi wanalalamika so ni vyema akajirekebisha kwani hapo wanamuharibia mtumishi wa Mungu Tb Joshua.

Jamani mkitaka kuamini naomba niwape namba ya Martha.
Au nenda kwenye ofisi yake Benjamin Mkapa.
Utajionea mwenyewe
 
Zinapatikana ofisi za scoan,posta mpya,jengo la benjamin william mkapa...na hyo coordinator anaelalamikiwa hapa ndo unamuona hapo
Shardcole nenda kwenye ofisi zake benjamin Mkapa utakiona cha Moto!
Ni bara hata kwenda wa Mkuu wa Kaya
 
Last edited by a moderator:
u a ryt mkuu!kwanza wa2 wanaofanya kazi na tb joshua hawapo hivyo,...
Nilikuwa scon frm xmass up 2 new yr! Yaani TB Joshua yupo tofauti na hao wanaojifanya wanamjua sn,mnyenyekevu,hana majivuno, tofauti na huyu coordinator

Wale wanaosema tunamwonea Martha, pateni ushahidi kwa mtu aliyewahi kwenda Nigeria
 
christine ibrahim asante sana kwa taarifa kwamba hata Prophet ameshapata hizi taarifa. Nina imani kwamba mateso haya yanakaribia mwisho
 
Last edited by a moderator:
uniq mungu atusaidie twende kwa T.B.Joshua tukamfanyie maombi.
Kiburi, nyodo na dharau za Martha sio za kawaida.
Sio bure
 
Last edited by a moderator:


Wonders shall never end!
 

Kumbe alishawahi kutimuliwa PPF tower?
Marta na watetezi wake wote wanaonyesha mentality ya watanzania!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…