Coordinator wa SCOAN Tanzania

ebu acheni malumbano wapo wengi wanahitaji hayo maji kama huyo matha mnadai ana majibu mabaya kwa wateja,lakini mmesema wapo macoordinators wengine hapa tz basi tupe namba za hao wengine ili watu wakapate huduma kwa hao wengine kama wapo

Mkuu.nakushauri ufuatilie uzi huu kwa makini. Utapata majibu yote
 
Namba ya coordinator eng mgimbwa ni 0787 305156 kwa wanaotaka kwenda scoan na blandina nyon anapatikana baraka plaza flow ya pili
 
Martha amehama? Alikuwa Benjamin Mkapa karibu na duka la mariedo upande wa Business machines
 
Ukistaajabu ya bunge la katiba utayaona ya scoan.
Kweli shida zinapoteza uwezo wa ku reason.
 
mh hivi hayo maji yana madini gani mpaka watu wayafuate huko? imani usipoijenga kwenye mwamba imara lazima utatapatapa tu
 
Ukistaajabu ya bunge la katiba utayaona ya scoan.
Kweli shida zinapoteza uwezo wa ku reason.

Kaka imani ni kitu kipana zaidi. There is a limit of reasoning, hasa zinaookuja imani za dini.

Kama wewe ni muumini wa dini yoyote utakubaliana na mimi kwamba sio kila kitu una reason.


Waache wanaoshindwa ku reason kwa imani zao za kidini.

Be blessed always
 
mh hivi hayo maji yana madini gani mpaka watu wayafuate huko? imani usipoijenga kwenye mwamba imara lazima utatapatapa tu

Kama imani yako unaona hivyo wache wenye imani mayo waendelee watajenga imani Yao kwenye huo mwamba eventually
 
Kuna jamaa walikusanyana 15 Dalai.ba visa wakapeewa na kuomba tkt bei nzuri Rwandair to Lagos nakwambia hata awakuamini bei za tkt za Martha Darlagosdar

Mkipata uhakika wa kusafiri awa jamaa wanatoa bei nzuri mkiwa group WaPo maktaba square karibu na bank of india
 

Fanyeni yote kwa utukufu wa Mungu
 
Namba ya coordinator eng mgimbwa ni 0787 305156 kwa wanaotaka kwenda scoan na blandina nyon anapatikana baraka plaza flow ya pili

Blandina nyoni yupi Yule aliekuwa akijibu ma dk chefuchefu
Hope Mungu ame.mbadilisha
 

Usishangae wako kibiashara zaidi

Na si kwa ajili ya utukufu wa Mungu
 
kwnn huyo mungu wenu mpaka umfuate lagos?ina mana ambao hawana pesa yakwenda huko watafanyaje?
 
Alipigwa stop na prophet zaidi ya mwaka sasa!
Ndo karudishwa! Kuendelea,!
Btw sshv coordinators wapo 5
sent using...tecno wereva[emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…