Coordinator wa SCOAN Tanzania

Coordinator wa SCOAN Tanzania

Sumba-Wanga

JF-Expert Member
Joined
Feb 2, 2011
Posts
5,353
Reaction score
1,234
Siku za hizi karibuni tumeshuhudia watanzania wengi wakijitahidi kwenda kwa Mchungaji T.B. Joshua, wa SCOAN Nigeria kwa maombezi. Hiki kinachotokea kwa sasa ni kielelezo tosha kwamba watu wengi wana mahangaiko makubwa sana na wangependa kumrudia Mungu wao kwa Uponyaji.

Naomba nizungumzie tabia za kukera za Coordinator wa SCOAN hapa Tanzania, Martha. Huyu dada ni kiburi sana, anamajidai, hajali watu, anajibu jeuri, na ku treat watu wazima kama vile wanafunzi wa sekondari. Huyu dada amejisahau, anaona kama vile anafanya kazi White House, amekosa kabisa maadili ya watu wanaosaidia watu wa Mungu. anajipangia tu muda wa watu na siku za kwenda ofisini kwake bila kujali kwamba hao watu wanatoka mikoani, au dar! Hata Dar yenewewe ina foleni, unapowaambia watu wafike Benjamini Mkapa saa moja kamili anafikiria nini? Na hata ukimwambia kwamba unatoka mbali hajali, atakupa jibu la karaha.

Last week wisemen from SCOAN- Nigeria walikuja Diamond Jubilee. Huyo dada aliadhirika sana kwa kiburi chake, kwa maana matendo yake na tabia zake ni tofauti sana na watu wa SCOAN kutoka Nigeria. hakuwapaa watz taarifa za kutosha madhumuni ya safari yao. Hili lilileta usumbufu mkubwa sana. Waliokuwepo Diamon Jubilee ni mashahidi zangu.

nasikia amesusa kuuza maji baada ya kuona kwamba watu wamemsemea,
Typical of Tanzanians behavior, sasa kazi ni yako unasusa nini?
Unamsusia nani?
Kwa nini uliikubali? Kama hutaki si uache?

Kwa kweli huyo dada, ni janga la taifa.
 
Wewe unataka uheshimike na watu hata kwa masuala yako ya kiroho? Umemwajiri, unamlipa kupitia kodi zako? Alikuambia yeye ana hisa ngapi katika kazi ya Uponyaji anayoifanya Mungu? Kwa nini unataka kuanzisha ugomvi na mtu ambaye hana msaada wala sehemu ya ufumbuzi wa matatizo yako ya kiroho? Wewe kama unamhitaji Mungu mtafute Mungu na achana na mambo ya watu hayakusaidii.
 
Yaani watu mnataka mnyenyekewe hata kwenye masuala ya kiroho? Embu tubu umuombee acha kulalama kama mjane alozulumiwa urithi wa mumewe
 
Umeongea ukweli wako na ndio mwisho wa akili zako kufikiria (etc).
No wonder you are a great thinker!
This explains why Tourist Hotels in Tanzania are employing managers from Kenya, while we have thousand of the so called "managers".
Wanaepuka kuchujua watu wenye mentality kama yako.
Shame on us Tanzanians
 
Yaani watu mnataka mnyenyekewe hata kwenye masuala ya kiroho? Embu tubu umuombee acha kulalama kama mjane alozulumiwa urithi wa mumewe

Ndio Matatizo yetu watanzania.
Customer care 0%.
Mtu ukihitaji kupata huduma kwa utaratibu na kuhudumiwa kama mteja, eti unadai kunyenyekewa!
We Tanzanians!
We need our heads examined.
What is wrong with us?
Yaani kupata huduma nzuri ni favor?
No wonder Masaburi alisema tunafikria kuwa kutumia makaliao.
 
Yaani watu mnataka mnyenyekewe hata kwenye masuala ya kiroho? Embu tubu umuombee acha kulalama kama mjane alozulumiwa urithi wa mumewe

This leaves a lot to be desired!
Mtu anadai huduma nzuri tu!
Na hajaja kama ombaomba!
Eehhh sijui tuna nini watanzania!
 
Umeongea ukweli wako na ndio mwisho wa akili zako kufikiria (etc).No wonder you are a great thinker!This explains why Tourist Hotels in Tanzania are employing managers from Kenya, while we have thousand of the so called "managers".Wanaepuka kuchujua watu wenye mentality kama yako.Shame on us Tanzanians
You are talking nonsense coz you dont know God and you think you can use your foolishness to define Spiritual things. Poor guy, do you think God is gonna rely on your stupid politics? Do you think He needs your votes to decide on peoples destinies? You need to know God first before thinking of your spiritual levels! If you have ever heard anything about God, you dont have to be reminded that in heavenly realms there is neither racism nor professionalism!. Now keep on displaying your ignorance here! shame on you alone!
 
This leaves a lot to be desired!Mtu anadai huduma nzuri tu!Na hajaja kama ombaomba!Eehhh sijui tuna nini watanzania!
Kama unaona hapo hapana huduma nzuri, nenda kwingine unakoona kuna kufaa!. Hakuna sheria inayosimamia imani kwamba lazima uende kwenye sehemu yenye customer care mbaya!. Kama unadhani kwamba poor customer care ya huyo karani sijui nani inazuia Mungu asikutendee unachohitaji then nenda kwnye makanisa yenye ustaarabu ambako Mungu anamwaga nguvu kulingana na ukarimu wa watu.
 
Hivi mkuu zile anointing water and stickers zinapatikana wapi kwa hapa Tz and kama hazipatikani ni jinsi gan ya kuzipata.
 
You are talking nonsense coz you dont know God and you think you can use your foolishness to define Spiritual things. Poor guy, do you think God is gonna rely on your stupid politics? Do you think He needs your votes to decide on peoples destinies? You need to know God first before thinking of your spiritual levels! If you have ever heard anything about God, you dont have to be reminded that in heavenly realms there is neither racism nor professionalism!. Now keep on displaying your ignorance here! shame on you alone!

Dear Martha,
You have made my day.
However, do you know why am I complaining about Martha?
I am not sure if you do!
 
Kama unaona hapo hapana huduma nzuri, nenda kwingine unakoona kuna kufaa!. Hakuna sheria inayosimamia imani kwamba lazima uende kwenye sehemu yenye customer care mbaya!. Kama unadhani kwamba poor customer care ya huyo karani sijui nani inazuia Mungu asikutendee unachohitaji then nenda kwnye makanisa yenye ustaarabu ambako Mungu anamwaga nguvu kulingana na ukarimu wa watu.

This is typical Tanzanians mentality!
You have made my day!
No wonder Martha is still there!
Poor Tanzanians!
 
Hivi mkuu zile anointing water and stickers zinapatikana wapi kwa hapa Tz and kama hazipatikani ni jinsi gan ya kuzipata.

Nenda pale Benjamini Mkapa Towers ukaojionee mwenyewe!
Utakuja kuandika ushuhuda humu! Makuwadi wa Martha
 
Last edited by a moderator:
Kama unaona hapo hapana huduma nzuri, nenda kwingine unakoona kuna kufaa!. Hakuna sheria inayosimamia imani kwamba lazima uende kwenye sehemu yenye customer care mbaya!. Kama unadhani kwamba poor customer care ya huyo karani sijui nani inazuia Mungu asikutendee unachohitaji then nenda kwnye makanisa yenye ustaarabu ambako Mungu anamwaga nguvu kulingana na ukarimu wa watu.

Dear Martha,
Mimi sijaomba kuwa coordinator wa SCOAN Tanzania, na wala sina mpango wa kufanya hivyo.
Mimi sina shida na wewe maana sijaja nyumbani kwako na wala sijui unakaa wapi.
Sina haja ya kukujua wewe zaidi ya pale SCOAN.
Ila ni ngumu kwenda SCOAN bila kupitia kwenye OFISI YAKO YA BENJAMIN MKAPA ILIYOJAA UKILITIMBA.
TB Joshua haihitaji kusujudiwa kama wewe!
Nilkichoomba hapa ni ku-imporove customer care, na kufanya maisha ya watu wanaotaka kwenda kupata hii huduma yawe marahisi.
Is this too much for you?
 
Wabongo no maprofessor wa kutoa huduma mbovu

Tabby mstari wa mbele kutetea watu wa aina hiyo?
Martha anakupa nini?
What is wrong with us?
Hivi kumhudumia mteja vizuri is too much for you??????????????????
Great thinkers???? wanatetea ujinga wa namna hiyo?
 
Dear Martha,
Mimi sijaomba kuwa coordinator wa SCOAN Tanzania.
Ila ni ngumu kwenda SCOAN bila kupitia kwenye OFISI YAKO YA BENJAMIN MKPA ULIYOJAA UKILITIMBA.
TB Joshua haihitaji kusujudiwa kama wewe!
Nilkichoomba hapa ni ku-imorove customer care.
Is this too much for you?

.....ukiritimba ndio unao ifanya hiyo SCOAN ijae !
Ghana watu wamekufa kwa kugombea 'maji ya uzima' ya SCOAN !
 
.....ukiritimba ndio unao ifanya hiyo SCOAN ijae !
Ghana watu wamekufa kwa kugombea 'maji ya uzima' ya SCOAN !

Kwa jinsi SCOAN wa Tanzania (Martha) walivyo wakiritimba, tutegemee hili very soon!
watu wanalipa pesa, ni watu wazima, kwa nini kuwanyanyasa?
What is wrong with us Tanzanians?
Hapo hapo tunawalaumu wanasiasa?
 
Back
Top Bottom