Coolest first class airplane cabins

Coolest first class airplane cabins

englibertm

JF-Expert Member
Joined
May 1, 2009
Posts
9,252
Reaction score
6,211
<button class="modal-btn modal-close js-close" type="button">Close </button>
Bjzvxl7IQAAvlPZ.jpg:large
 
Ukiona dhahabu dhahabu basi jua ni WAARABU. Hiyo ni ndege ya EMIRATES, na itakuwa ni Airbus A380, PRIVATE SUIT - FIRST CLASS. Kwa africa, waweza kuipanda kutoka Dubai ukashukia South Africa. Au ukaipanda kwenda London kutoka Dubai. Chance ni kubwa sana ingawa bei yake itakuwa ni heri ukalale kwenye hotel lao la nyota saba, Dubai.

Kuna Wajinga wengine nao wanatangaza PEPO wakati unasafiri. Hawa walianza mapema sana kwani wao walikabidhiwa mapema sana hii A-380. Mambo ya Singapore Airlines -First class cabin.

289adeb334.jpg



ndege gani hii jamani duu
 
Daah!! Hizi cabin matata kabisa!! Ukipanda hizo class hata mawazo ya ndege kupotea dunia hii unasahau kabisa!!
 
Mhh siyo Air Tanzania kweli? katika safari yake Dar to kigoma?.....au nimefananisha....
 
Vyote vizuri lakini hofu yangu ni kwamba ikipotea eti haipatikani.......
 
Back
Top Bottom