Poa
ukisoma email utaona zipo docs 2 tofauti
majina yanafanana lakini mwisho utaona kumbe moja ni ya 2000 na nyingine ni ya 2011
ya 2000 walitoa fotocopy kisha wakaaatch kwenye PDF (ndio inanitoa kijasho)
Ya 2011 iko poa haina mgogoro na wala sina shida nayo
kigongo ni hiyo niliyokutumia ya 2000