Lissu jr94
Member
- May 21, 2021
- 53
- 45
Ok, thanksSiku saba
ShukranZingine hazi-ezpai, na ni hiyo hiyo kila mwezi.
Kama za malipo gani ndugu yangu,ninazokutana nazo huwa zinaexpire ndani ya week.Zingine hazi-ezpai, na ni hiyo hiyo kila mwezi.
Malipo ya maji, halmashauri yangu control namba ni moja tu kila mwezi.Kama za malipo gani ndugu yangu,ninazokutana nazo huwa zinaexpire ndani ya week.
Mi niko hapa sido...nimekua nikitumwa kulipia kodi ya pango, naona zinakuja tofauti na kuna wakati tuliletewa bili tukachelewa kulipia control number ika expire ikabidi tukapewe nyingineNinaenda mwezi ya 5 sasa ninalipa maji kwa control number ile ile.
Bill inakuja lakini namba haibadiriki.
Hapana ni ndani ya mwezi mmoja.Siku saba
Sijui kwako. Ila, ki kawaida, waweza kuitumia zaidi ya mara moja, iwapo ulipolipia, hakikufika kile kiasi ambacho unatakiwa kukilipia. Kikifikia tu, hiyo namba haitumiki tena!Ninaenda mwezi ya 5 sasa ninalipa maji kwa control number ile ile.
Bill inakuja lakini namba haibadiriki.
Duh..Sijui kwako. Ila, ki kawaida, waweza kuitumia zaidi ya mara moja, iwapo ulipolipia, hakikufika kile kiasi ambacho unatakiwa kukilipia. Kikifikia tu, hiyo namba haitumiki tena!
Ulaji wa mtuNinaenda mwezi ya 5 sasa ninalipa maji kwa control number ile ile.
Bill inakuja lakini namba haibadiriki.
Bado ni validkuna control namba hapa ina siku 8 ngoja nikajaribu kuilipia nione.