Contraversial decisions by FA.

Mkeshaji

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2011
Posts
4,258
Reaction score
1,418
Look at these two pictures then compare and contrast the decision made by the FA after each action.

Any fairness...!?

Any consistence..!?

Note: Dont be driven by emotions when commenting.



To be continued......
 
Huyu alikuwa anapigania mpira, mguu unahusiana na mpira
Huyu mpira haupo, mkono na meno havihusiani na mpira
 
Huyu alikuwa anapigania mpira, mguu unahusiana na mpira
Huyu mpira haupo, wala hauhusiani na mkono na meno

nadhani mleta mada atakuelewa! Kifupi Ivanovic alivamiwa mchana kweupe, ilitakiwa apigwe ban 15 games, ikumbukwe sio mara yake ya kwanza. Hii ni kwa faida yake na hao 'anaowala'!LMFAO!
 
mti wenye matunda hurushiwa mawe mengi..
You have said broda.
Nikikumbuka pia ishu ya huyu jamaa dhidi ya Evra na ile ya Terry dhidi ya Tony Ferdinand ambazo zote zilitokea katika kipindi kinachokaribiana. Halafu nikilinganisha na adhabu zilizotolewa na utofauti wake, napata mashaka makubwa sana na maamuzi ya FA.
 
Suarez deserved it, kwa mara ya pili anafanya the same shit ndio maana adhabu imekua kubwa or else asingepewa match nyingi hivyo.
 

mimi sishangai adhabu ya suarez, kwanza ingeongezwa ila nashangaa kwanini terry hakupigwa ban ndefu?
 
aliwahi fanya jaribio la kula nyama ya mtu uwanjani kabla ya kutua anfield na kulimwa ban ya game 7 kama sikosei

kwa hiyo ina husiana nini na gemu za fa na je mbona ya defoe waliipotezea sasa..
 
ya kwanza kwani hata cheza mpira kipindi kirefu..
Sawa ndetichia. Hiyo ya pili wala haikuwa na madhara kwani jamaa aliendelea na gemu hata baada ya tukio. Hawa jamaa wa FA ndio wanaongoza kwa maamuzi ya kibaguzi...wanachochea ubaguzi katika EPL. Kama hawataki wageni ambao wamewazidi kiwango ni bora waseme tu.
 
Last edited by a moderator:
mimi sishangai adhabu ya suarez, kwanza ingeongezwa ila nashangaa kwanini terry hakupigwa ban ndefu?
Ndio fairness ninayozungumzia hapa. Na maamuzi ya kibaguzi ya hilo li chama la FA.
 
Jabulani,
Which one among the two is more dangerous!?
Adhabu za soka haziangalii hazard tu, bali pia na dhamira pamoja na eneo lilikotendeka kosa.
Chukulia mfano, katika eneo la hatari, mchezaji A (wa ndani) anauzuia kwa mkono kwa makusudi mpira unaoingia wavuni, anapewa straight RED CARD. katikati ya uwanja, mchezaji B anacheza rafu kwa kumkwatua mwenzake aliyemlamba chenga, anapewa YELLOW CARD. Sasa ingekuwa katika utoaji wa card kinachoangaliwa ni kigezo cha 'dangerous', basi hizo card za A na B zingekuwa vice-versa, lakini katika football kinachoangaliwa ni nani anacheza fair foul na nani anacheza deliberate foul, ndiyo maana huyo aliyezuia kwa mkono mpira kutinga wavuni anapewa RED CARD kwa kuwa alikuwa hachezi mpira, anacheza foul ya makusudi tena ndani ya maguu 18 kunyima haki wenzake ya kuuingiza mpira wavuni
 
Unamaanisha Ajax ya Uingereza!?

Usijifanye mjinga kama unataka kufanywa sema, kafanya ujinga kaadhibiwa na adhabu ni stahiki, kama unawahukumu FA wahukumu bila kuutetea ujinga wa Suarez.
 
Ndio fairness ninayozungumzia hapa. Na maamuzi ya kibaguzi ya hilo li chama la FA.

hilo liko wazi,waingereza ni wabaguzi sana siwezi kupinga hilo japo wanajitahidi sana kuupga vita ubahuzi kinafki. Kumbuka ishu ya Rio na terry kwenye timu ya taifa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…