Contractors Registration First time Application: Mwenye uzoefu na hili mwaga data | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Contractors Registration First time Application: Mwenye uzoefu na hili mwaga data

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Online Brigade, Aug 24, 2012.

 1. O

  Online Brigade Member

  #1
  Aug 24, 2012
  Joined: Jun 26, 2012
  Messages: 39
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 13
  Habari wandugu,
  Nimenunua form kwa ajiri ya first time application kwenye ofisi ya CRB posta, ningependa kupata uzoefu wa watu ambao washawahi kufanya hii process. Nahitaji fanya registration ya electrical, civil and building.
  1. Je ni usumbufu gani hupatikana katika process hii
  2. Wanapokuja kukagua ofisi wanakuwaga wanaangalia nini sana sana?
   
 2. cerengeti

  cerengeti JF-Expert Member

  #2
  Aug 24, 2012
  Joined: Jan 19, 2011
  Messages: 3,633
  Likes Received: 1,165
  Trophy Points: 280
  tunaweza kukusaidia kuprocess application. ninapatikana 0767 102102, 0655 308308. email: cerengeti@gmail.com
   
 3. m

  mtanzania1989 JF-Expert Member

  #3
  Aug 24, 2012
  Joined: May 20, 2010
  Messages: 2,142
  Likes Received: 1,709
  Trophy Points: 280
  nipe gharama zako mzee, kama ni conducive nikucheki kwa simu
   
 4. kipipili

  kipipili JF-Expert Member

  #4
  Aug 29, 2012
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 1,499
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  kuna kijitabu chao kinaitwa procedures and criteria for registration of contractors ulitakiwa upewe kina maelezo ya kina kuhusu usajili wa contractors
   
Loading...