Watengeneze njia ya kuhusu maji yasitwame ushaskia ni wakandarasi kwahiyo naimani mitambo ya ujenzi wanayoMIGUGO, Sasa mkuu ulitaka wazuie mvua isinyeshe?
Daaaah ilibidi mpaka umdadavulie!!!Watengeneze njia ya kuhusu maji yasitwame ushaskia ni wakandarasi kwahiyo naimani mitambo ya ujenzi wanayo
Mkuu una maana kuwa na degree nyingi(ambazo kuna watu wanajisifia sana ) sio lazima zikubadilishe kivitendo??Wakandarasa darasani katika vitendo sifuri
Duh,ina maana na wewe naye umo au ni sisi tu wewe umesalimika..?Ukitajwa nchi maskini unafikiri wanamaanisha huna fedha tu!! Wanamaanisha na kichwa pia ni maskini.