Wanaolalamika wote ni majipu , wezi sasa mnaopatapata ngoja na nynyi tule mlo MMOJAUmelinganisha hali halisi ya mwenendo wa uchumi wa Tanzania au unatoa nadharia tu?
Kubana matumizi kunasaidiaje kuondoa tatizo la ukosefu wa ajira na halisi ya watanzania?
Mkuu monetary policy iwe katika expansionary condition au contractionary condition haina uhusiano kabisa na kodi wala matumizi ya serikali.Contractionary monitory policy ni nzuri sana kwasababu serikali inapopunguza matumizi ina maana na viwango vya kodi na tozo mbalimbali navyo vitashuka au kuondolewa kabisa.Eneo la kodi ni muhimu sana ktk aidha kuchochea wawekezaji wa ndani na wa nje kuwekeza kwa wingi au kuwa_discourage wawekezaji hawa kuwekeza.Matumizi makubwa ya serikali hupelekea pia viwango vya kodi kuongezeka au kuwapo kwa kodi holela na hivyo kupelekea kuwapo kwa mfumuko wa bei (inflation hike).Ila nawaomba serikali wasiishie ktk kubana matumizi tu,waimarishe miundombinu ya barabara,bandari na hasa reli ambayo ni njia ya usafirishaji ya gharama nafuu zaidi kwani inaweza kusaidia kupunguza mfumuko wa bei (inflation hike).Pia umeme wa uhakika na wa bei nafuu inaweza si tu kusaidia kushusha inflation bali pia kuchochezea uanzishwaji wa shughuli za uzalishaji au uwekezaji nchini.
kinadharia umeelezea vizuri matokeo ya sera fedha inayolenga kupunguza mzunguko wa fedha.hii ni sera nzuri ambayo inapunguza pesa nyingi kwenye uchumi ambazo hazikuwa na manufaa.hii imechangia mfumuko wa bei uliopo saivi.
MANUFAA YA CONTRACTIONARY NI;
1. Kupanda kwa thamani ya shilingi kwasababu mzunguko wa pesa unakuwa mdogo
2. Kushuka kwa bei za bidhaa kwasababu kwa sababu mzunguko wa hela ni mdogo kuliko bidhaa ( money circulation becomes low than commodities available in the economy)
3. Usawa wa kipato kwa watu, kwasababu hela zikipungua kwenye uchumi manunuzi ya bidhaa yanakuwa affordable kwa watu wote. anachotumia tajiri na mwenye kipato kidogo anaweza kukipata.
NOTE;
Ukichukua mfano kwenye mzani wa usawa ( lorenz curve) ambapo kadri muachano unavyokuwa mkubwa kutoka line ya usawa ndivyo utofauti wa kipato unavyokua mkubwa na kinyume chake ni sawa.
Mkuu monetary policy iwe katika expansionary condition au contractionary condition haina uhusiano kabisa na kodi wala matumizi ya serikali.
Conractionary policy ipi mkuu monetary au fiscal? Maana umesema tu contractionary policy.Contractionary policy ni nini?labda tuanzie hapo kwanza.
Yes, nakubaliana na wewe, mtoa mada anaelekea kuchanganya monetary policies na fiscal policies.Mkuu monetary policy iwe katika expansionary condition au contractionary condition haina uhusiano kabisa na kodi wala matumizi ya serikali.
Huyu Mkurupukaji Mkuu ndio anataka kuigeuza nchi yetu kuwa ni lab ya majaribio ya sera za zimamoto na ukurupukaji! Yaani Magufuli anajiona kama yuko pale UDSM Lab ya idara ya Chemia anachanganya madawa kwenye CH 101! Hii haiwezekani kabisa tutarudi nyuma miaka 10!
Nahisi hii nadharia inatekelezeka kwenye vitabu na siyo kihalisia!
Nyie watanzania watatu ni weupe kabisa alooooohiyo sio leo wala kesho. btw, hiyo ni nadharia tu. nadharia nyingi za uchumi (ikiwemo hiyo) hazifanyi kazi kwa muda mfupi
leta hoja kuonesha kwanini tutarudi nyuma miaka 10 siyo ngonjera. Hili ni jukwaa la GtHuyu Mkurupukaji Mkuu ndio anataka kuigeuza nchi yetu kuwa ni lab ya majaribio ya sera za zimamoto na ukurupukaji! Yaani Magufuli anajiona kama yuko pale UDSM Lab ya idara ya Chemia anachanganya madawa kwenye CH 101! Hii haiwezekani kabisa tutarudi nyuma miaka 10!
1.What is the difference between monetary policy and fiscal policyactually heading yako imekosewa tayari na content pia, Magufuli hana mkono kwenye Monetary Policy. Monetary Policy inafanywa na Banki Kuu labda uniambie ameathiri kwenye fiscal policy ambayo inahusisha gvt. spending and gvt. revenue (Tax)
Monetary policy kwa lugha yetu inamaana ni sera ya fedha, kwa maana ya matendo ya banki kuu katika kuongeza au kupunguza ujazi wa fedha au money supply.1.What is the difference between monetary policy and fiscal policy
Mlo m1 ni wewe na familia yako, usitegemee miujiza fanya kazi kwa bidiiWanaolalamika wote ni majipu , wezi sasa mnaopatapata ngoja na nynyi tule mlo MMOJA
Nakubaliana na wewe, Dogo anakarii, economic growth inhuishwa na vitu vingi sana. sio tu kubana matumizi. basi kama kubana matumizi ndio every thing katika ukuaji wa uchumi kila nchi ingefanya hivyo na zote ziwe sawa kimaendeleo.Yaani wewe umekopi ukabandika theory hapa. Bahati mbaya umeshindwa kulinganisha na hali halisi ya mazingira yetu. Nchi zetu developing countries zipo immune na hizi theories kwa sababu Mfumo wetu haueleweki. Lakini Magufuli hajapunguza pesa kwenye mzunguko bali amefanya value for money. Yaani anataka pesa zitumike ipasavyo kwa kuondoa rushwa.
Hapo sasa ndio umesema nini?Ulisoma posti yako kabla ya kutuma?hii ni sera nzuri ambayo inapunguza pesa nyingi kwenye uchumi ambazo hazikuwa na manufaa.hii imechangia mfumuko wa bei uliopo saivi.
MANUFAA YA CONTRACTIONARY NI;
1. Kupanda kwa thamani ya shilingi kwasababu mzunguko wa pesa unakuwa mdogo
2. Kushuka kwa bei za bidhaa kwasababu kwa sababu mzunguko wa hela ni mdogo kuliko bidhaa ( money circulation becomes low than commodities available in the economy)
3. Usawa wa kipato kwa watu, kwasababu hela zikipungua kwenye uchumi manunuzi ya bidhaa yanakuwa affordable kwa watu wote. anachotumia tajiri na mwenye kipato kidogo anaweza kukipata.
NOTE;
Ukichukua mfano kwenye mzani wa usawa ( lorenz curve) ambapo kadri muachano unavyokuwa mkubwa kutoka line ya usawa ndivyo utofauti wa kipato unavyokua mkubwa na kinyume chake ni sawa.
Monetary policy kwa lugha yetu inamaana ni sera ya fedha, kwa maana ya matendo ya banki kuu katika kuongeza au kupunguza ujazi wa fedha au money supply.
Kwahiyo hii sera ya fedha inaweza kuwa contractionary pale ambapo benki kuu ina nia ya dhati ya kupunguza ujazi wa fedha sokoni, ili kuleta uwiano katika uhitaji wa fedha na shughuli za uzalishaji.
Kwakuwa sote tunaju kwamba kma fedha zitakuwa nyingi zaidi ya shughuli za uchumi basi hii husababisha kuwepo kwa mfumuko wa bei au inflation.
Sasa kinyume cha contrationary monetary policy ndio tunaona expansionary monetary policy, ambapo hapa sasa banki kuu inakuwa na nia ya kuongeza fedha kwenye uchumi kwa makusudi kabisa.
Ilihali, fiscal policies hizi sera za mapato na matumizi kwa serikali kuu. Ambazo zinaweza pia kulenga matumizi ya serikali kwenye uchumi ikiwa ni pamoja na matumizi ya kimaendeleo au development expenditures, lakini pia sera za ukusanyaji wa kodi nchin.
subiri uone kama kuna litakalotokea zaidi ya shilingi kuimarika, tena itaimarika kwa shida kwa kuwa mnategemea imports. wacha kukariri vitabu. kawaulize wachumi wa ulimwengu; how long are short-run, long-run periods?Nyie watanzania watatu ni weupe kabisa alooooo