Nahisi hii nadharia inatekelezeka kwenye vitabu na siyo kihalisia!
hii ni sera nzuri ambayo inapunguza pesa nyingi kwenye uchumi ambazo hazikuwa na manufaa.hii imechangia mfumuko wa bei uliopo saivi.
MANUFAA YA CONTRACTIONARY NI;
1. Kupanda kwa thamani ya shilingi kwasababu mzunguko wa pesa unakuwa mdogo
2. Kushuka kwa bei za bidhaa kwasababu kwa sababu mzunguko wa hela ni mdogo kuliko bidhaa ( money circulation becomes low than commodities available in the economy)
3. Usawa wa kipato kwa watu, kwasababu hela zikipungua kwenye uchumi manunuzi ya bidhaa yanakuwa affordable kwa watu wote. anachotumia tajiri na mwenye kipato kidogo anaweza kukipata.
NOTE;
Ukichukua mfano kwenye mzani wa usawa ( lorenz curve) ambapo kadri muachano unavyokuwa mkubwa kutoka line ya usawa ndivyo utofauti wa kipato unavyokua mkubwa na kinyume chake ni sawa.
Inabidi tuanze somewhere. Kama angeendelea 'yule' wadhani hata tungeanza?hiyo sio leo wala kesho. btw, hiyo ni nadharia tu. nadharia nyingi za uchumi (ikiwemo hiyo) hazifanyi kazi kwa muda mfupi
Umelinganisha hali halisi ya mwenendo wa uchumi wa Tanzania au unatoa nadharia tu?
Kubana matumizi kunasaidiaje kuondoa tatizo la ukosefu wa ajira na hali halisi ya watanzania?
Sasa hizo nazo ni austerity measure?Matumizi yanayobanwa na Magufuli ni yale yasiyo ya lazima; matumizi ambayo hayaongezi ubora wa bidhaa wala huduma kwa Taifa hivyo huongeza mfumuko wa bei!!! Mfano mzuri ni zile safari za DHAIFU alipokuwa anakwenda kubembea huko Carribean au alipokuwa anakwenda kuonana na 50 cents zilikuwa na tija gani? Hayo ndio matumizi ya kipuuzi yanayobanwa na serikali ya Magufuli!!
Huyu Mkurupukaji Mkuu ndio anataka kuigeuza nchi yetu kuwa ni lab ya majaribio ya sera za zimamoto na ukurupukaji! Yaani Magufuli anajiona kama yuko pale UDSM Lab ya idara ya Chemia anachanganya madawa kwenye CH 101! Hii haiwezekani kabisa tutarudi nyuma miaka 10!
Sasa hizo nazo ni austerity measure?
Yaani wewe umekopi ukabandika theory hapa. Bahati mbaya umeshindwa kulinganisha na hali halisi ya mazingira yetu. Nchi zetu developing countries zipo immune na hizi theories kwa sababu Mfumo wetu haueleweki. Lakini Magufuli hajapunguza pesa kwenye mzunguko bali amefanya value for money. Yaani anataka pesa zitumike ipasavyo kwa kuondoa rushwa.hii ni sera nzuri ambayo inapunguza pesa nyingi kwenye uchumi ambazo hazikuwa na manufaa.hii imechangia mfumuko wa bei uliopo saivi.
MANUFAA YA CONTRACTIONARY NI;
1. Kupanda kwa thamani ya shilingi kwasababu mzunguko wa pesa unakuwa mdogo
2. Kushuka kwa bei za bidhaa kwasababu kwa sababu mzunguko wa hela ni mdogo kuliko bidhaa ( money circulation becomes low than commodities available in the economy)
3. Usawa wa kipato kwa watu, kwasababu hela zikipungua kwenye uchumi manunuzi ya bidhaa yanakuwa affordable kwa watu wote. anachotumia tajiri na mwenye kipato kidogo anaweza kukipata.
NOTE;
Ukichukua mfano kwenye mzani wa usawa ( lorenz curve) ambapo kadri muachano unavyokuwa mkubwa kutoka line ya usawa ndivyo utofauti wa kipato unavyokua mkubwa na kinyume chake ni sawa.
You can call them by whatever name lakini lengo lake ni KUPUNGUZA MATUMIZI YA KIPUUZI YASIYO ONGEZA TIJA KWA TAIFA!!
Dogo naona unatumia maarifa ya uchumi wa A-level wa ambilikile na una draw conclusion kwenye nchi.hii ni sera nzuri ambayo inapunguza pesa nyingi kwenye uchumi ambazo hazikuwa na manufaa.hii imechangia mfumuko wa bei uliopo saivi.