Contraceptives zinapozingua

Contraceptives zinapozingua

Hahahaaaa!! Eti mipingo yetu, kwakweli dawa za mpango wa uzazi kwa wanaume ziletwe tu ili tusiwategeshee.
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Ndoto za,mchana hzooo
Mtasubir sana mkuuuu

Tutegesheen tu leba c mnaenda wenyw
 
Hahahaaaa!! Eti mipingo yetu, kwakweli dawa za mpango wa uzazi kwa wanaume ziletwe tu ili tusiwategeshee.
Kuna vasectomy lakini wanaokubali ni wachache sana hasa hii mipingo yetu.
 
Habari za leo wapendwa,

Leo nitawapa kisa cha shost niliyesoma nae secondary zile enzi ugali na maharage na solution unachomvyea mkate, basi baada ya pale shost si kwao kidogo change ipo, first degree alipelekwa Ughaibuni.

Tulipoteana kwa muda mrefu, mpaka nilipokutana na maza wake church ndiyo kuniambia Sky jamani Z anaolewa kwahiyo uje kwenye vikao vya harusi. Basi tulicheza harusi shost amempata kijana wa kizungu.

Baada ya harusi, tuliendelea na mawasiliano, ilimchukua shost miaka mitano baada ya ndoa kupata mtoto, alipomleta mtoto nyumbani kwa wazazi wamuone ndiyo nimebahatika kukaona katoto kazuri jamani.

Shost ananiambia walipokutana na mchumba alimwambia aweke in plant ili asishike ujauzito kwani walikuwa na mipango mingi, jamaa alikuwa anataka anunue nyumba kabla hajaoa, pia gharama za harusi. Yote yalifanikiwa lakini wakati wanataka kupata mtoto in plant bado ilikuwa kwenye action.

Baada ya kuelezwa haya nikasema mbona hii mipingo yetu haina complications zote hizo, ingwa wanalalamika wanategeshewa mimba lakini mambo ya kulazimishwa kuweka in plant bado.

Weekend njema

Sky Éclat.
kama wanaishi ughaibuni, swala la mtoto ni kitu kingine. Sio kama hapa, unaletewa dada kutoka kijijini unamlipa elfu50 kwa mwezi kuelea mtoto unarudi kazini. Kule its a totally different issue. hakuna msaada, kila kitu ni pesa kuanzia pampers tena akianza daycare ndugu yangu utalia hizo hela zinavyokutoka! daycare is very very very expensive, hiyo hela unaweza kulipia mortgage ya nyumba!! maana kama wote mnafanya kazi, mtoto mnamuacha wapi? babu na bibi huko pia wanakazi hivo! na hapo unaweza kumpeleka mtoto daycare kuanzia miezi 6 hadi miaka 3 atakapo anza shule ambayo ndio free. So hiyo ni miaka 3 unalipa daycare, mtoto akacheze na clay and dolls akimaliza alale mchana, uende kumchukua 6pm umetoka job. Hiyo hela unaweza kuweka deposit ya nyumba! Don't get me wrong kids are a blessing lakini huko kama mna mipango, kijiti kinahusu, mind you, zile pills huwa zina fail under some circumstances....i have a baby to prove by it lol
 
Ninachomuonea huruma huyu dada ni stress aliyoipata kutafuta mtoto baada ya kijiti kutolewa. Kama ni option basi mwanaume afanyiwe vasectomy iwe reversed atakapokuwa tayari.
 
na wengine wanapata mimba wakati wakitumia contraceptives. Yaani ni majanga.
yes, inawezekana. inategemea unatumia nini japokuwa ni nadra sana ila zile pills ukisahau tu....ukiwa na implant ni vigumu sana kudaka na inakaa miaka 4.
 
Ninachomuonea huruma huyu dada ni stress aliyoipata kutafuta mtoto baada ya kijiti kutolewa. Kama ni option basi mwanaume afanyiwe vasectomy iwe reversed atakapokuwa tayari.
oh maskini! thats very sad! ndio ni kweli, baadhi ya wanawake huwa wanapachukua muda ku-conceive baada ya kutoa implant wengine huchukua miezi 3 kushika wengine mpaka mwaka sometimes mwaka na nusu! ila vasectomy reversal is quite drastic, coz nilishasikia after that he shoot blanks japokuwa haiko verified. watengeneze tu contraceptive za kiume wote tuwe responsible tu, usiku kila mtu ana kidonge chake au kila mtu ana sindano yake kila wiki 12 lol
 
Nimecheka sana mkuu, mnaweza kushare glass ya maji kumezea. Any way back to the vasectomy issue, kaka zetu wako very self, hawata kubali kufanyiwa operation hata kidogo. Ninadhani kizazi kwao kinawafanya wafeel wako complete.
 
Back
Top Bottom