continuing student heslb

continuing student heslb

Ndelianarua mtui

New Member
Joined
Sep 9, 2017
Posts
3
Reaction score
1
wale walioomba kama continuing hamna ambaye kapata , hapa mbna heslb inazngua
manzee au aliewapigia akauliza atujuze
 
Dah hao watu sijamskia hata kuwataja sijuwi kama watawakumbuka
 
wale walioomba kama continuing hamna ambaye kapata , hapa mbna heslb inazngua
manzee au aliewapigia akauliza atujuze
Ni kweli aisee jamaa wengi ambao wanaendelea na elimu ambao wameomba upya hawakubahatika kuchomoka, hali ni mbaya mkuu
 
wale walioomba kama continuing hamna ambaye kapata , hapa mbna heslb inazngua
manzee au aliewapigia akauliza atujuze
Mimi nilikuwa sikuwa approved na TCU sababu hiyo nikaenda chuo cha awali nikapatiwa barua ya termination nikapeleka TCU nikajaza fomu ,sasa jina langu limetoka second selection nasikilizia heslb tu
 
Back
Top Bottom