Mjasiria Akili JF-Expert Member Joined Sep 24, 2012 Posts 823 Reaction score 372 Nov 13, 2013 #1 Kuna chanel 14 zimeongezeka ghaflq kwenye kisimbusi cha continental sijui zimepotea njia au ndio wanaanza kuziongeza manake ni nzuri kiasi chake kwa movie ila hazina majina naona wanazungumza kiarabu na kichina wakiendela hivi itakua poa
Kuna chanel 14 zimeongezeka ghaflq kwenye kisimbusi cha continental sijui zimepotea njia au ndio wanaanza kuziongeza manake ni nzuri kiasi chake kwa movie ila hazina majina naona wanazungumza kiarabu na kichina wakiendela hivi itakua poa
steveachi JF-Expert Member Joined Nov 7, 2011 Posts 11,677 Reaction score 14,002 Nov 13, 2013 #2 Kausha mkuu,watashtuka wezi hawa