ymollel
JF-Expert Member
- Aug 23, 2012
- 3,095
- 2,294
kwa wale wanaotumia decoder za continental Mkoani Arusha, ili kupata channel fanya yafuatayo.
1. kwanza toa antenna nje kama ilikuwa ndani (kwani tayari wamefanya baadhi ya mabadiliko)
2. nenda kwenye manual search weka frequency 514000 , then search
3. ikimaliza ku search.. kwenye channel list bonyeza mshale wa kuelekea juu ^. ili kupata channel za mwisho wa list.
4. so channell zinazoonesha ni zile za mwisho kupanda juu.