Kiko vizuri picha inang'aa vizuri .Nimechoshwa na startimes kiukweli
Haya mwenye kisimbusi cha continental cha antenna vipi:-
Cha antenna kina channel ngapi???
Cha dishi jee??
Wanazo channel za aina gani???
Vipi ubora wa picha wa dish na antenna??
Vipi ubora wa picha wa antenna?natamani nipate cha antenna tu
Vipi local channels???
Kuna mtu kanambia hichi kisimbusi ni hd na kina ubora wa picha kuliko hata startimes cha dish
Mwenye nacho plzzz aniambie maana nataka nikitafute
Continental wanaonyesha local channel mm naonaKuna chenye kuonyesha local channel kweli
Una dish au antenna??Ni ngumu sana kumshauri mtu achukue hiki kisimbusi but chukua "at your own risk"
Ninacho mda sana lakini kukosa signal kwa mwezi mzima au miwili ni kitu cha kawaida sana,walinitesa sana siku moja nikaamua kukimbilia multi choice ila naendelea nao kibishi.
Natumia cha dish.Una dish au antenna??
Hapa nina dish ila hata cha antenna ninacho nilipo hamia bagamoyo nikanunua cha dishi cha antenna kinaona vizuri mjiniuna antenna au dish
Nakitumia mwaka wa nne huu kiko vizuri sana sema tuu kuna muda chanel zinakata nadhani ni sababu location yangu haiko vzr sana picha zake ni HD sauti iko clear sana wana local channel zote na huzilipii sometime hata hizo walizoongeza unaweza ukazipata bila kulipia kama wasingetetereka hawa jamaa hata azam isingeona kitu sema ndio diallo alitetereka kidogo hapo katiNimechoshwa na startimes kiukweli
Haya mwenye kisimbusi cha continental cha antenna vipi:-
Cha antenna kina channel ngapi???
Cha dishi jee??
Wanazo channel za aina gani???
Vipi ubora wa picha wa dish na antenna??
Vipi ubora wa picha wa antenna?natamani nipate cha antenna tu
Vipi local channels???
Kuna mtu kanambia hichi kisimbusi ni hd na kina ubora wa picha kuliko hata startimes cha dish
Mwenye nacho plzzz aniambie maana nataka nikitafute
Cha antenna auNakitumia mwaka wa nne huu kiko vizuri sana sema tuu kuna muda chanel zinakata nadhani ni sababu location yangu haiko vzr sana picha zake ni HD sauti iko clear sana wana local channel zote na huzilipii sometime hata hizo walizoongeza unaweza ukazipata bila kulipia kama wasingetetereka hawa jamaa hata azam isingeona kitu sema ndio diallo alitetereka kidogo hapo kati
YesCha antenna au