Contakct za wanaouza magari yaliyotumia Uarabuni | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Contakct za wanaouza magari yaliyotumia Uarabuni

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Njele, Jan 26, 2012.

 1. N

  Njele JF-Expert Member

  #1
  Jan 26, 2012
  Joined: Jan 5, 2012
  Messages: 275
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Naomba wanaofahamu contact za wauza magari ya kijapani yaliyotumika huko Uarabuni, maana gharama ya kununua Japan gharama za usafirishaji ni juu mno. Ningependa kwenda mwenyewe kuchagua na kufanya shipping nitakapounganisha na safari nyingine za nje kikazi.

  Magari ninayofikiria ni kati ya yafuatayo:
  HondaCVR
  Suzuki Vitaa
  Ziwe CC. 1800 - 2000, zinazotumia Petrol

  Jamii forums ni kiboko najua wadau watanisaidia sana kupata kausafiri. Thanks
   
 2. L

  LAT JF-Expert Member

  #2
  Jan 26, 2012
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 4,523
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 0
  magari ya dubai ni 3 in one !
   
 3. N

  Njele JF-Expert Member

  #3
  Jan 26, 2012
  Joined: Jan 5, 2012
  Messages: 275
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  LAT nashukuru kwa maoni yako, nategemea utanisaidia kupata uffanuzi zaidi, maana nimeona Japan gharama za usafirishaji ni karibu nusu ya gharama ya kununulia gari lenyewe. Sasa tatizo langu sijui bado mitandao ya wauza magari ya hujo Dubai.
   
Loading...