Kisambo
JF-Expert Member
- Dec 1, 2014
- 850
- 531
io number haipatikane mkuu.Umenipa number ya uongo.
Mkuu namba zake ni 0769199999
Nimemtumia message kupitia email ulionitajia lakini naona bado ajatoa jibu.either hana muda wa kusoma au message zinaingia nyingi katika account yaki hadi anashindwa kuzisoma
Kama upo instagram au twitter manager wake wapo very active huko unaweza watia direct msg au warushie comment
Usernames salaam_sk NA babutale
Bila kusahau kaka yake Diamond ni. romyjons