Consuption ya 100 watts ina hitaji bettri ya volt ngapi ili itumike zaidi ya masaa 72

Breezyman

Member
Dec 8, 2017
70
60
Wadau habari zenu naomba msaada kwa anae jua umeme wa bettri lolote la maji au kavu. Nahitaji kujua volt ngap inahitajika ili bettri liweze kukaa na chaji hata siku 3 ikiwa jumla ya matumizi ya vyombo vyangu ni watts 100.
 
Battery itakuwa na 12V kama kawaida. Kinachobadilika ni CURRENT (Ampere Hour - AH).

Unahitaji kutumia 100W, kwa masaa 72.
----------------------------
100Watts = 0.1KiloWatts
0.1KW x 1Hour = 0.1KwH

Kwa hivyo kwa kila saa 1 utatumia 0.1KwH

Halafu..

0.1KwH x 72 =7.2KwH

Hivyo Kwa saa 72 utatumia 7.2KwH

Sasa tuiridishe hiyo KiloWatts Hour irudi kwenye power ya battery.

Itakuwa:

7.2KwH x 1000W=7200Watts

Kutoka kwenye formula
Watt(p)=Volt(v) x Current(I)

Basi 7200=12 x I
I=7200÷12
=600A

Kwa hiyo unahitaji battery ya N600 , kwa 12V
 
I like that you are the best bro thank you alot.
 
Mkuu hiyo N huwa inamaanisha nini?
 
Bettry itabidi iwe nazaidi ya 600Ah,kwa sababu Kuna efficiency factor,Kama 80%,pili Kama utatumia ya 600Ah,tu baada ya siku tatu hii betri itakuwa empty kabisa(depth of discharge),sasa hapa inabidi uchague aina ya betri ambayo unaweza kuidischsrge mpaka let's say up to 50% ya uwezo wake,kwahiyo ukiweka hizo factors mbili,in real life situation inabidi utafute ya saize,600Ah/0.5*0.8,=1500AH,
Saizi ya betri itabidi iwe 1500AH,
Maana yake 20%(300AH)itapotea katika saketi,utabakiwa na 1200Ah,then baada ya siku tatu utatumia 600AH,na betri yako itabaki na 600AH,Kama akiba ili isife idumu zaidi.
 
Noted Sir
 
Nahitaji kujua betri lenye ukubwa gani litaweza kukaa na chaji masaa 72... ikiwa matumizi ya kifaa changu kina watt 100.

Sawa baba ni hivi

Load yako = 100 Watts
System voltage = 12Volts DC

So hapo tunachukua Wattage gawanya kwa Voltage ili tupate current ya load yako

100W / 12V = 8.33 A

So continuous current ya load yako ni ampea 8.33

>>> Hapo tumeshapata Current ( ampere) - A sasa sasa inabidi tuje tumix iyo ampea na hours/ masaa kwa sababu battery linapimwa kwa ampere hour ambayo tunaiita (N).

>>> So sasa tuna ampere 8.33 Izidishe na masaa unayotaka.

>>> umesema unataka Siku 3 ambazo ni sawa na ma masaa 72

Hivyo basi:-

Chukua ampere zidisha na masaa

8.33 X 72 = 600 Ampere hour

so unahitaji battery capacity ya 600Ah/ N600

hizo ni sawa na battery 3 za N 200
au sawa na battery 6 za N 100

Lakini kwa uhakika zaidi wa mfumo na kufidia Loss ya power na ile kutokufanya kazi kwa vitu kwa 100% unatakiwa uweke Tolerance hapo. Mm nashauri utumie 25%

so chukua 600 x 0.25 = 150

Sasa unaweza ongeza 150Ah kwenye ile 600Ah na hivyo kupata 750Ah

Sasa kwenye mfungo wa battery hakikisha inakaribia au inafikia 750Ah
 
Bettry itabidi iwe nazaidi ya 600Ah,kwa sababu Kuna efficiency factor,Kama 80%,pili Kama utatumia ya 600Ah,tu baada ya siku tatu hii betri itakuwa empty kabisa(depth of discharge),sasa hapa inabidi uchague aina ya betri ambayo unaweza kuidischsrge mpaka let's say up to 50% ya uwezo wake,kwahiyo ukiweka hizo factors mbili,in real life situation inabidi utafute ya saize,600Ah/0.5*0.8,=1500AH,
Saizi ya betri itabidi iwe 1500AH,
Maana yake 20%(300AH)itapotea katika saketi,utabakiwa na 1200Ah,then baada ya siku tatu utatumia 600AH,na betri yako itabaki na 600AH,Kama akiba ili isife idumu zaidi.
Kweli mkuu, efficiency haiwezi kuwa 100% kwa hivyo lazima battery iwe na ziada
 
Battery itakuwa na 12V kama kawaida. Kinachobadilika ni CURRENT (Ampere Hour - AH).

Unahitaji kutumia 100W, kwa masaa 72.
----------------------------
100Watts = 0.1KiloWatts
0.1KW x 1Hour = 0.1KwH

Kwa hivyo kwa kila saa 1 utatumia 0.1KwH

Halafu..

0.1KwH x 72 =7.2KwH

Hivyo Kwa saa 72 utatumia 7.2KwH

Sasa tuiridishe hiyo KiloWatts Hour irudi kwenye power ya battery.

Itakuwa:

7.2KwH x 1000W=7200Watts

Kutoka kwenye formula
Watt(p)=Volt(v) x Current(I)

Basi 7200=12 x I
I=7200÷12
=600A

Kwa hiyo unahitaji battery ya N600 , kwa 12V
Mtaalamu heshima Kwako mkuu. Naomba msaada wako wa kitaalamu kaka. Je ninaweza kuOpt kutumia deep frier ya umeme lakini instead ya umeme wa tanesco nikatumia umeme wa solar? Ni zipi advantage disadvantage za option hii au changamoto zake ukilinganisha na matumizi ya deep frier ya gas? Idea niko nayo ni kutumia solar kwa ajili ya deep frier na ile griller ya chapati ktk biashara yangu ya cafe. Lakini kwanza ninahitaji kupata muongozo wa kitaalamu. Natanguliza shukran zangu na ubarikiwe sn
 
Elezo limeshiba
 
Sawa baba ni hivi

Load yako = 100 Watts
System voltage = 12Volts DC

So hapo tunachukua Wattage gawanya kwa Voltage ili tupate current ya load yako

100W / 12V = 8.33 A

So continuous current ya load yako ni ampea 8.33

>>> Hapo tumeshapata Current ( ampere) - A sasa sasa inabidi tuje tumix iyo ampea na hours/ masaa kwa sababu battery linapimwa kwa ampere hour ambayo tunaiita (N).

>>> So sasa tuna ampere 8.33 Izidishe na masaa unayotaka.

>>> umesema unataka Siku 3 ambazo ni sawa na ma masaa 72

Hivyo basi:-

Chukua ampere zidisha na masaa

8.33 X 72 = 600 Ampere hour

so unahitaji battery capacity ya 600Ah/ N600

hizo ni sawa na battery 3 za N 200
au sawa na battery 6 za N 100

Lakini kwa uhakika zaidi wa mfumo na kufidia Loss ya power na ile kutokufanya kazi kwa vitu kwa 100% unatakiwa uweke Tolerance hapo. Mm nashauri utumie 25%

so chukua 600 x 0.25 = 150

Sasa unaweza ongeza 150Ah kwenye ile 600Ah na hivyo kupata 750Ah

Sasa kwenye mfungo wa battery hakikisha inakaribia au inafikia 750Ah
Mtaalamu heshima Kwako mkuu. Naomba msaada wako wa kitaalamu kaka. Je ninaweza kuOpt kutumia deep frier ya umeme lakini instead ya umeme wa tanesco nikatumia umeme wa solar? Ni zipi advantage disadvantage za option hii au changamoto zake ukilinganisha na matumizi ya deep frier ya gas? Idea niko nayo ni kutumia solar kwa ajili ya deep frier na ile griller ya chapati ktk biashara yangu ya cafe. Lakini kwanza ninahitaji kupata muongozo wa kitaalamu. Natanguliza shukran zangu na ubarikiwe sn
tapatalk_1603091447017.jpeg
 
Sawa baba ni hivi

Load yako = 100 Watts
System voltage = 12Volts DC

So hapo tunachukua Wattage gawanya kwa Voltage ili tupate current ya load yako

100W / 12V = 8.33 A

So continuous current ya load yako ni ampea 8.33

>>> Hapo tumeshapata Current ( ampere) - A sasa sasa inabidi tuje tumix iyo ampea na hours/ masaa kwa sababu battery linapimwa kwa ampere hour ambayo tunaiita (N).

>>> So sasa tuna ampere 8.33 Izidishe na masaa unayotaka.

>>> umesema unataka Siku 3 ambazo ni sawa na ma masaa 72

Hivyo basi:-

Chukua ampere zidisha na masaa

8.33 X 72 = 600 Ampere hour

so unahitaji battery capacity ya 600Ah/ N600

hizo ni sawa na battery 3 za N 200
au sawa na battery 6 za N 100

Lakini kwa uhakika zaidi wa mfumo na kufidia Loss ya power na ile kutokufanya kazi kwa vitu kwa 100% unatakiwa uweke Tolerance hapo. Mm nashauri utumie 25%

so chukua 600 x 0.25 = 150

Sasa unaweza ongeza 150Ah kwenye ile 600Ah na hivyo kupata 750Ah

Sasa kwenye mfungo wa battery hakikisha inakaribia au inafikia 750Ah
I got you Sir
 
Kwaio bettri 4 kwa N 200 au 7 kwa N 100
 
Wadau habari zenu naomba msaada kwa anae jua umeme wa bettri lolote la maji au kavu. Nahitaji kujua volt ngap inahitajika ili bettri liweze kukaa na chaji hata siku 3 ikiwa jumla ya matumizi ya vyombo vyangu ni watts 100.
Unatakiwa kuuliza kuwa unahitaji betri ya capacity gani in Ah/mAh or watt hours (Wh) inayoweza kukaa na chaji kwa siku 3 kama kifaa chako kinatumia Volt kadhaa na watts 100. Battery zinakua rated kutokana na Volt zinazotumika na hcho kifaa chako. Sio kwamba betri ikiwa na volt kubwa ndo inakaa na charge sana.

Kwahyo jua kwanza kifaa chako kinatumia volt ngap, ambayo unaweza kuipata kutoka kwenye hzo watts 100 na current rating ya hcho kifaa. Gawanya 100 watts kwa current rating ya kifaa chako utapa volts.

Kwa betri inayokaa masaa 72. Chukua 100watts x 72hrs = 7200Wh ndio rating ya battery unayohitaji.

Kma unataka in Ah, chukua hyo 7200Wh gawanya kwa Volts ulizopata hapo juu utapata ration in Ah. Zidisha kwa 1000 kma unataka in mAh
 
Sawa baba ni hivi

Load yako = 100 Watts
System voltage = 12Volts DC

So hapo tunachukua Wattage gawanya kwa Voltage ili tupate current ya load yako

100W / 12V = 8.33 A

So continuous current ya load yako ni ampea 8.33

>>> Hapo tumeshapata Current ( ampere) - A sasa sasa inabidi tuje tumix iyo ampea na hours/ masaa kwa sababu battery linapimwa kwa ampere hour ambayo tunaiita (N).

>>> So sasa tuna ampere 8.33 Izidishe na masaa unayotaka.

>>> umesema unataka Siku 3 ambazo ni sawa na ma masaa 72

Hivyo basi:-

Chukua ampere zidisha na masaa

8.33 X 72 = 600 Ampere hour

so unahitaji battery capacity ya 600Ah/ N600

hizo ni sawa na battery 3 za N 200
au sawa na battery 6 za N 100

Lakini kwa uhakika zaidi wa mfumo na kufidia Loss ya power na ile kutokufanya kazi kwa vitu kwa 100% unatakiwa uweke Tolerance hapo. Mm nashauri utumie 25%

so chukua 600 x 0.25 = 150

Sasa unaweza ongeza 150Ah kwenye ile 600Ah na hivyo kupata 750Ah

Sasa kwenye mfungo wa battery hakikisha inakaribia au inafikia 750Ah
Hapo ume assume voltage ya kifaa chake ni 12V. Inabidi aseme ni kifaa gani na specifications zake zimesema kinatumia voltage kiasi gani? Au kinatumia current kiasi gani?
 
Yeye anaongelea battery ambalo ni obvious ni volt 12. hata kama kifaa chake ni volts 220 as far as ana inverter, basi msingi wa hesabu unaanzia kwenye Battery storage ambayo ni 12V in some case hata angesema ni 24Volts jibu lipo

kama atatumia 24 volts, inabid achukue battery tulizomuambia na azifunge kwenye 24 connection

maana yake ni kwamba AH zitapungua na system voltage itapanda lakini Output ni ileile
 
Back
Top Bottom