nitasemaukweli
Member
- May 27, 2011
- 86
- 19
Which Bunge are you talking about? Hili lenye wamagamba wengi wanaozomea wanamapinduzi wachache wanapotoa hoja za msingi? This is not a Bunge bana, Ni kijiwe cha kuchumia posho na kubwabwaja kama pimbi wa Serengeti.Mkuu, i am more inclined to compliance and accoutability than pipoz pawar aisee
if this has been our bunge procedure, then wehere do we expect BUnge to be credible???
hilo nalo neno.Naona mpaka hapo palipofika inabidi itumike hekima vinginevyo hali itakuwa tete, na huyu mama aache kutumia nguvu nyingi katika mambo ambayo yapo wazi. Yeye afungue mjadala aone mtazamo wa wabunge ukoje saizi juu ya posho.
Wana JF naomba ufahamu zaidi
Nimesoma kwamba Mama Makinda amesema Zitto anaweza kufukuzwa bungeni iwapo hatasaini hati ya mahudhurio, nimeshindwa kupata uelewa kama attendance register/form inakuwa ndio hiyohiyo hati ya malipo kwamba mbunge akisaini mahudhurio basi ndio signature ya malipo inakua imesainiwa
Hii siyo room ya watu kuja kusaini tu na kuchukua pesa na kutohudhuria bunge?? kanuni za uhasibu zinasemaje?? Vipi kuhusu wahasibu kutengeneza hati za malipo baada ya kupokea orodha ya mahudhurio...
NIna wasiwasi kwamba kuna wabunge huhudhuria kwa signature tu na si kwa matendo endapo huu ndio mtindo wa bunge letu
Nimesikitika sana kusoma Magazeti Asubuhi hii yakieleza Mheshimiwa Spika atamfukuza Zitto asipochukua Posho kwa siku tatu mfululizo, Posho inayolipwa baada ya ku-saini daftari la mahudhurio. So kama anaonekana Bungeni na unamuona kwa nini umfukuze au ndo mnataka wananchi wafanyeje?
Inachosha bwana, Mama Makinda what is this Mama?
Wenye akili finyu watamshauri huyo mama Anne asipo sign vikao vitatu mfukuze bungeni. Kitakacho tokea hapo ni hasira za wapiga kura kwa CCM kuwa wao wanalipana posho kwa siku wkt wao wananchi walio wachagua wanataabika kwa kudanganywa na vikofia,vitshirt.
Hivi kuna ugumu gani wa Mhasibu wa bunge kudirect hizo pesa za posho kwenda kwenye account anayo taka Zitto? Yaani mambo mengine yanatia kichefu chefu kabisa eti ni sheria wameweka kila mbunge apokee sitting allowance sijui sheria gani na ya mwaka gani?
Edson... kinachosikitisha hapa ni jinsi accountability ya viongozi wa mhimili kama bunge wanavyochukulia vitu light na kutoa matamko ya ajabu kama wanafundisha shule ya msingi katereroSpika wa bunge Bi Makinda asema kwamba atakayesusia posho kwa vikao vitatu mfululizo atafukuzwa mara moja. Nae Mh Zitto amjibu asema yupo tayari kufukuzwa kurudi kuvua dagaa kuliko kupokea posho.
Source; Mwananchi
this is serious if we mix attendance na payment advice directly... where is internal control procedure??
Zitto ataibua makubwa kama hawatamuelewa
and please hii sio peoplesss powerrr...this is more serious
ulishaona mtu anayechukia feza?