So,LIKUD and CONSOLATA=
wakuu, habari za jioni? kama mtakuwa na kumbukumbu vizuri, mtakumbuka kuwa kulikuwa na huyu bidada aliyeitwa consolatha hapa JF, alikuja moja kwa moja kutueleza juu ya usagaji, jinsi alivyoingia, madhara yake na alivyotoka.
Wakuu binafsi ile mada ilinipotea bila kuimaliza vizuri kwa sababu ilihamishiwa jukwaa ambalo sikuwa na access!
katika pita pita google na kusaka material zinazofanana na mada, nimekutana na hii hapa ID ikiwa imeeleza topic niliyokuwa nikiitafuta...
Samahanini nitakaowakera, naombeni sana muhusika azidi kutueleza zaidi juu ya hii kitu kwa sababu bado inaigusa jamii mpaka sasa na watu wanazidi kuathirika zaidi..
Tafadhali tupatie updates mkuu. itakuwa vizuri zaidi kama ukiendelea kuelezea kilichotokea!
mliopata hizo CD jamani tunaomba na sie tukanunuepo!
Acheni umbea nyie, moda wanajua mchezo walio ufanya na nilisha ripoti hili suala!!!
Naomba tukuajiri part time intelijensia Polisi walai...
em nipm fasta!!
mmmmmmnh tung'ate sikio na sisi
hahahahaha mchina wangu uliisha chaji iliishaje ile movie Heaven
hahahaaaaaaa sina meno ntakung'ataje sasa
Acheni umbea nyie, moda wanajua mchezo walio ufanya na nilisha ripoti hili suala!!!
Mkuu umbea maana yake nini?
Mod gani awe na bifu na wewe lakini?
Tafadhali kama una habari zaidi ya hii kitu tueleze kwa sababu habari iliishia hewani hewani!
mmmmmmmh afu umeanza lini kufupisha jina langu
Mambo ya malove hayo sio kila siku uitwe hilo hilo jina lako
hupendi kwani? halafu naona siku hizi unajua hadi kugombeza eenh!
LIKUD lazima takuwa moderator! KAJUAJE? We si ulikuwa unanishtaki kila sekunde nipigwe ban! Una maana wewe? Mi nakaa mbali mita 100 usawa wa bahari!
Napata kitu hapa, kuna uhusiano kati ya wewe likud? kwanini kafahamu kuwa mimi na wewe tunafahamiana kwa kugombania chumbani? amejuaje kuwa nilikutumia PM za ugomvi? Halafu na wewe aliyekwambia kuwa mimi nime-report PM ya matusi uliyonitumia ni nani?LIKUD lazima takuwa moderator! KAJUAJE? We si ulikuwa unanishtaki kila sekunde nipigwe ban! Una maana wewe? Mi nakaa mbali mita 100 usawa wa bahari!