Connection za makundi reliable ya biashara

Prodigy Oligarchy

JF-Expert Member
Mar 21, 2020
571
643
Salaam nyingi sana wana JF,

Ni ukweli uliowazi kwamba, kadri miaka inavyozidi kusonga mbele, teknolojia nayo inakua kwa kasi sana, mitandao ya kijamii nayo inashika kasi kuendana na mabadiliko bila kuisahau Jf nayo pia.

WHATSAPP, Telegram, Facebook, Instagram, Twitter n k

Imekua ni mitandao inayotumiwa na mamilion ya watu kuonganisha watu kazi , biashara na elimu mbalimbali kutoka sehemu tofauti tofauti duniani

Leo nilikua naomba watu wapeane connection za makundi mbali mbali ya biashara huko mitandaoni ambayo ni reliable , naamini kupitia uzi huu utasaidia mtu au watu kwa njia moja ama nyingine

Ahsante
 
Salaam nyingi sana wana Jf,

Ni ukweli uliowazi kwamba, kadri miaka inavyozidi kusonga mbele, teknolojia nayo inakua kwa kasi sana, mitandao ya kijamii nayo inashika kasi kuendana na mabadiliko bila kuisahau Jf nayo pia.

WHATSAPP , Telegram , Facebook , Instagram , Twitter n k

Imekua ni mitandao inayotumiwa na mamilion ya watu kuonganisha watu kazi , biashara na elimu mbalimbali kutoka sehemu tofauti tofauti duniani

Leo nilikua naomba watu wapeane connection za makundi mbali mbali ya biashara huko mitandaoni ambayo ni reliable , naamini kupitia uzi huu utasaidia mtu au watu kwa njia moja ama nyingine

Ahsante
Sheria za JF haziruhusu kupeana link kama hizo hapa
 
SMART CAR/MOBILE PHONE KIT FOR LESS
<a target="_blank" href="Amazon.co.uk: Car & Vehicle Electronics: Electronics & Photo: Accessories, Car Electronics, GPS Devices & More">SMART</a>
1671122521114.jpeg
CAR_PHONR HOLDER 3.JPG

CAR_PHONR HOLDER 3.JPG

CAR_PHONR HOLDER 2.JPG

CAR_PHONR HOLDER 1.JPG

BUY ORIGINA ANY PRECIOUS MOBILE PHONE KIT FOR LESSOROGINAL||UK, GERMAN, FRANCE, USA|| CLICK ON THE LINK ON THE TOP
 
Attachments

  • CAR_PHONR HOLDER 1.JPG
    CAR_PHONR HOLDER 1.JPG
    15.5 KB · Views: 13
  • CAR_PHONR HOLDER 2.JPG
    CAR_PHONR HOLDER 2.JPG
    61.5 KB · Views: 11
kama unatumia facebook, search "chimbo za kariakoo". ukijiunga kwenye hili group kuna watu wanapost biashara zao na ndani yake wana magroup yao kulingana na bishara wanayofanya.

Kupitia hili group la chimbo za kkoo ndio utakutana na wenye magroup yao telegram, Whatsapp, Facebook n.k. Kuna group za mawinga kkoo, wauza mikoba na vifaa vya urembo, na chochote ukitakacho
 
Source #1:

Source #2:
Pikipiki hii inauzwa bei nzuri.

Wakuu ni matumaini yangu wote humu mko poa, kijana wenu baada ya salam nmekuja kwenu kuwapaa fursa ya pikipiki ninaiuza ni tvs150 ya blue ni gia 4 sio 5 ni zile za mwanzo mwanzo ni imara sana na bado iko na hali nzuri kama inavoonekana hapo kweny picha inapiga stata jino moja tu imewaka ni namba Mc 679 CBB ni mali yangu mwenyewe haina tatizo bali mimi ndo nina shida ya hera maana kimfaaacho mtu chake niliinunua kwa mtu nae alikuwa na shida nmetumia kwa mda wa kama mwaka mmoja baada ya kuinunua

Bei yake ni laki 9 na nusu ila ukiwa serious maongezi yapo, alieniuzia alikuwa anatumia kuendea tu kazini na kurudi ila baada mimi kuinunua niliifanya bodaboda, Docoment zake zote zipo kwa maana ya Kadi ya pikipiki mimi sio mara ya kwanza kufanya biashara hapa mtandaoni hasa hapa jf ninaishi dar kwangu mitaa ya Kinyerezi Kifuru unaweza kuja hata ukapaona kwangu napokaa na familia yangu pia nishauza vitu kibao tu na wala sina longolongo wala siuzagi vitu vyenye matatizo ni vyangu mwenyewe

nishawahi uza hapahapa jf na vyote nilipata wateja, kwaiyo niwaondoe shaka, Unaweza usihitji wewe lakini ukawa ndugu jamaa nna maafiki hata jirani yako pia. Asanteni na karibuni sana wahi usichelewe Kwa mawasiliano nichek call, sms na WhatsApp 0756695846 na 0712776823.
View attachment 2453619View attachment 2453620
 
Source #1:

Source #2:
PIKIPIKI HII INAUZWA BEI NZURI

IMG_20221217_125219_119.jpg
IMG_20221217_125226_295.jpg
 
nishawahi uza hapahapa jf na vyote nilipata wateja, kwaiyo niwaondoe shaka, Unaweza usihitji wewe lakini ukawa ndugu jamaa nna maafiki hata jirani yako pia. Asanteni na karibuni sana wahi usichelewe Kwa mawasiliano nichek call, sms na WhatsApp 0756695846 na 0712776823.View attachment 2453628View attachment 2453629
Hao waliokaa pembeni ndio wanakudai?ukimuangalia kwa umakini huyo alievaa njano inaonyesha anajua kudai deni kikaraha sana
 
Back
Top Bottom