Connection ya mafunzo kwa vitendo(field)

ivi hiyo connection mnayo tafuta wanafunzi wa siku hizi mbona mimi sielewei...enzi zetu field tulikuwa tunaenda popote na mambo yalikuwa shwali...ebu funga safari upeleke barua yako ya utambulisho kutoka chuo....hapa hakuna atakae kusaidia.
 
Barua mkuu nimepeleka ila mambo siku hizi hayapo hivyo.. Unapeleka taasisi 6 hupat hat moja, wanaopata wameunganishwa
 
Wakuu nimejaribu kuomba kujuzwa kuhusu taasisi naona kimya sana watu mmejichimbia siasani mara kigogo. Wengine mmejazana kwenye mada za utamu mara kibamia mnasahau tunahitaji uwepo wenu kwenye mambo ya msingi kule jukwaa la elimu. Wakuu nawaomba koneksheni taasisi zisizo za kiserikali nikafanye field.

1. World vision
2. MDH
3. UNICEF
4. Tancda
5. Nacopha
6. Pathfinder
7. Plan international
8. Pact Tanzania
9. Azania bank
10. Sanitas
11. TMJ medical centre

Na taaisisi nyingine zinazofanana na hizo wakuu.

Tusaidiane
Kama field hivi ushawaza ajira itakuwaje😆 jiamin. Na ukienda kwenye ofisi usiache barua ya field kwa mlinzi au mapokezi omba kuonana na department husika ukishindwa hata hr au manager. Mostly top rank staff hawana shida. Kimbembe nihawa wanaopokea hela ya mboga😬
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom