Ukitaka msaada au ushauri wa kiprogram weka na ambatanisha code za program au screen shot Sasa unaomba msaaada wa proggram kwa kuandika sentensi tu. Weka hizo code za hiyo claass inayofanya connection
Otherwise hakikisha data source yaani Database iko connected sucessfuly ha hiyo visual studio kama ndo unatumia. Kwenye visual studio kuna wizard ya kuunganisha database na C#. just youtube utapata video.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.