Unanunua Online via your Credit Card au Paypal. Ok, kwa kifupi ni software ambayo inakusaidia kufanya Multiple Internet Connection kwa kutumia means yoyote ile ulonayo. Be it wifi/3G/4G/Broadband, yoyote ile.
Baada ya kuconnect vyanzo vyote hivyo vya internet, then hii software inazi-combine zote into one Channel Stream na kisha kuzi-aggregate. Speed utakayopata hapo hailezEki kwani huwez ipata kutoka kwa Mmoja.
Last time nili-combine TTCL Broadband/4G SmileComm na 3G Voda nikapata 48Mbps. Nikashusha HD Movie Fast and Furious6 kwa dakika 6 tu.
Pia Connectify inawezesha PC yako kusambaza wifi/HOTSPOT(connectify-me)
Ofisini/nyumban au popote ulipo.
Uzuri wa hii kitu licence yake ni Life time. Na kila waki-upgrade wanakujulisha ili kupata updates.
Sasa hivi wamezindua pia huduma ya "Connectify-SwitchBoard" hii inafanya kazi sawa sawa na VPN.
You can access all you remote files while on Vacation. Or U can also unlock region content locked such as Netflix/Hulu/Pandora/BBC Iplayer and the Famous Online Music Store Spotify.
This Software, "Connectify" siyo ya kuikosa kwEnye Pc yako.
U'll love it.