Mimi siamini hata katika dini yoyote, dini zote ni mind control tool na zimeletwa na hao Illuminatti.
Mimi naona binadamu hapaswi kuwa na dini, dini yake ni yeye mwenyewe kama kukiabudu basi jiabudu wewe.
We are sovereign rulers of our selves..
Hakuna haja ya kuabudu kitu usichokijua, wala haisikilizi, binadamu hajawahi kumuona Mungu sasa unawezaje kuthibitisha kuwa hii miungu ipo., inawezekana sisi ndo miungu ila hatujitambui hivyo kupoteza na kusahau asili yetu na uwezo.
Mungu huyo wa wayahudi aitwaye El au Elohim ni muuaji, pia ni mwongo.
Aliwadanganya wayahudi naenda kuwapa nchi ya ahadi Kanaan walichombulia ni vifo na vita hadi leo hakuna cha Kanaani wala nini, wakristo wameambiwa wasubiri kanaani ya mbinguni kwa nini kama sio uwongo.
Siabudu Mungu mimi, mi ndo kila kitu