TODAYS
JF-Expert Member
- Apr 30, 2014
- 15,266
- 25,551
Mwandishi wa kitabu cha janga la Titanic miaka ile alipoandika kuwa kuna meli kubwa itakuja na kuua watu wengi, wengi walimbeza na kusema conspiracy akiwemo msomi mmoja wa mambo ya baharini na meli, ila baada ya tukio lile hakuwahi kusema kitu mpaka kufa kwake.Conspiracy theories