Congress tells Obama to sanction Tanzania and Tuvalu for helping Iran | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Congress tells Obama to sanction Tanzania and Tuvalu for helping Iran

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mzalendo JR, Aug 15, 2012.

 1. Mzalendo JR

  Mzalendo JR JF-Expert Member

  #1
  Aug 15, 2012
  Joined: Jun 6, 2012
  Messages: 1,189
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 160
  Now that President Barack Obama has signed the latest new sanctions bill on Iran, lawmakers are urging him to enforce it, starting with penalties against governments that reflag Iranian tankers, namely Tuvalu and Tanzania.

  House Foreign Affairs Committee ranking Democrat Howard Berman (D-CA) responded to
  reports that the government of Tuvalu has reflagged 36 Iranian tankers by writing to Secretary of State Hillary Clintonand Treasury Secretary Tim Geithner yesterday that they should enforce the new law and punish the Tuvaluans.

  "The legislation makes clear the Congressional intent that sanctions are to be used to counteract Iran's shipping operations that help support its weapons program and terrorism," Berman wrote.

  On July 9, Berman wrote to the
  Tuvalu prime minister to urge him to stop reflagging Iranian ships. The Tuvalu government responded with a letter saying its actions didn't violate U.N. sanctions and that the reflagged ships were only for storing oil and shipping to countries exempted by sanctions.

  The Tanzanian government, which has also come under fire for reflagging Iranian tankers,
  announced this weekthat it would de-register 36 Iranian ships that had been reflagged. But Berman said that while Tanzania has made progress, Tuvalu is still ignoring the pressure from the international community.

  "The U.S. has had some success, most recently with the announcement by the Government of Tanzania that it is de-registering NITC vessels," Berman wrote to Clinton and Geithner. "However, with other governments, the U.S. must take more robust action."
  Section 202 of the law, the Iran Threat Reduction and Syria Human Rights Act, calls for sanctions against any entity that assists Iran in concealing the identity of its vessels. Executive Order 13608 also authorizes sanctions and penalties against such entities.

  Sens. Mark Kirk (R-IL) and Bob Menendez (D-NJ) wrote to Obama today to call on the administration to use both tools now to increase the pressure on countries that may be aiding Iran in reflagging its ships. They want Treasury to designate the Tanzania Zanzibar International Register of Shipping, based in the United Arab Emirates, and the Tuvalu Ship Registry, based in Singapore, for helping conceal the identity of ships belonging to the National Iranian Tanker Company (NITC), a sanctioned entity.

  "The actions of the Tanzanian and Tuvaluan ship registries directly undermine the international community's ongoing diplomatic efforts to prevent Iran from obtaining nuclear and ballistic missile technology, and appear to be in violation of the legislation you just signed into law," the senators wrote.


  Source: http://thecable.foreignpolicy.com/posts/2012/08/14/congress_tells_obama_to_sanction_tuvalu_and_tanzania_for_helping_iran
   
 2. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #2
  Aug 15, 2012
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,335
  Likes Received: 22,187
  Trophy Points: 280
  Twafa kudadadeki
   
 3. Ronn M

  Ronn M JF-Expert Member

  #3
  Aug 15, 2012
  Joined: May 2, 2012
  Messages: 1,283
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Being super power sometimes is very exciting! Passing and enforcing laws internationally! It is well known that under normal circumstances one state can not pass laws to have effects on another state! But US does
   
 4. B

  Bobuk JF-Expert Member

  #4
  Aug 15, 2012
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 5,876
  Likes Received: 481
  Trophy Points: 180
  Pamoja na haya MAGUNYA kutuingiza kwenye matatizo na BIG BROTHER bado eti yanatuwekea vizingiti kuingia Zanzibar eti lazima tuwe na passport SIC! Kwanini tusiyaache haya MAGUNYA halafu BIG BROTHER aya BOMB TO STONE AGE.
   
 5. MVUMBUZI

  MVUMBUZI JF-Expert Member

  #5
  Aug 15, 2012
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 4,971
  Likes Received: 666
  Trophy Points: 280
  Kwa nijuavyo msimamo wa JK ni kwamba Marekani wanawaonea wa Iran. Aliwahi sema kwenye hotuba moja mwaka huu kwa lugha ya kejeli kwamba eti wa Iran wanataka kuzalisha umeme wanazuiliwa wakihisiwa wanataka kutengeneza bomb la nuclear.

  Support ya ku-Reflag meli za mafuta za Iran ina baraka zoote za JK na ndio maana yuko kimya haongei. Badala ya Rais kushabikia Iran kwa sababu tu ni nchi ya Kiislamu naomba aangalie upande mwingine wa shilingi ambao unahusu madhara watakayopata waTZ wa dini zote kama US itaamua kutuwekea Vikwazo vyovyote.

  Namsihi ushabiki wa kidini usimpofushe akajikuta anawatoa sadaka waTZ huku yeye na familia yake wakiendelea na maisha matamu sehemu nyingine bila usumbufu.
   
 6. M

  Mwikimbi JF-Expert Member

  #6
  Aug 15, 2012
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 1,745
  Likes Received: 109
  Trophy Points: 160
  haya ndo tunayafuata huko zanzibar kwa kiini macho kiitwacho muungano
   
 7. P

  Precise Pangolin JF-Expert Member

  #7
  Aug 15, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 12,198
  Likes Received: 1,978
  Trophy Points: 280
  MVUMBUZI

  Huyu jamaa anataka kutusababishia madhara makubwa hapa duniani akicheza 2015 itakuwa mbali kwake ohoooooo!!!!!!!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 8. PhD

  PhD JF-Expert Member

  #8
  Aug 15, 2012
  Joined: Jul 15, 2009
  Messages: 3,819
  Likes Received: 818
  Trophy Points: 280
  usimchezee marekani jamani
   
 9. mansakankanmusa

  mansakankanmusa JF-Expert Member

  #9
  Aug 15, 2012
  Joined: Sep 30, 2010
  Messages: 4,092
  Likes Received: 603
  Trophy Points: 280
  nimjuavyo jk, sio udini, tatizo ni matajiri wanamuamulia, hapa kwali ni twafa!!! wao wanapeta. mawaziri bungeni wanatetea kundi lao, kiujanjaujanja
   
 10. Ulukolokwitanga

  Ulukolokwitanga JF-Expert Member

  #10
  Aug 15, 2012
  Joined: Sep 18, 2010
  Messages: 8,418
  Likes Received: 3,905
  Trophy Points: 280
  Naona kazi ya Rostam Aziz na Ismail Jussa imelipa sasa. Ipi bora msaada wa Tende toka Iran au kukosa package ya MCC toka kwa Obama?
  JK unalo hilo
   
 11. mansakankanmusa

  mansakankanmusa JF-Expert Member

  #11
  Aug 15, 2012
  Joined: Sep 30, 2010
  Messages: 4,092
  Likes Received: 603
  Trophy Points: 280
  VIKWAZO TENA lo! Jk, sio udini, tatizo ni matajiri wanamuamulia, hapa kweli ni twafa!!! wao wanapeta. mawaziri bungeni wanatetea kundi lao, kiujanjaujanja, hembu waone bungeni wanatetea , wanateteana..kiukweli mimi siamini chadema,cuf wala sisiemu, lakini naamini jk ni mwanadiplomasia wa muda mrefu. Hivi ni kweli hajui marekeani inapower na inakiwa kujiimarisha wenyewe na sio kuchokonoa na kuwachokoza? Naamini anajua kuwa wananchi tutateseka. Jamani hatutamudu vikwazo hata vya asplini.
   
 12. Elungata

  Elungata JF-Expert Member

  #12
  Aug 15, 2012
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 28,038
  Likes Received: 8,528
  Trophy Points: 280
  halafu eti tunawashangaa mababu zetu kina chifu magungo kutawaliwa na mkoloni,wakati tunarudia makosa yaleyale..kwani ugomvi wa marekani na iran unatuhusu nini sisi.?
   
 13. Lu-ma-ga

  Lu-ma-ga JF-Expert Member

  #13
  Aug 15, 2012
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 2,843
  Likes Received: 472
  Trophy Points: 180
  Siri zote zitafichuka kwani tunatawaliwa na majambazi yasiyo na huruma, Tusibiri bomu lingine la JK na mama Banda, haiwezekani ziwa letu liende malawi JK anauza kila kitu.

  Mimi niliwahi kujiuliza swali la kijinga kwamba: ni kwa nini kuna vituo vingi sana vya mafuta vinajengwa tena kwa kasi kubwa along the highways in Tanznia??? sikupata jibu, lakini baada ya saga la Iranian vessels with Tanzania flags nipata jibu kumbe vile vituo vilikuwa vikitumika kama storage facilities kwa mafuta ya Mabrushi wa irani.

  Leo Riziwani ni mfanya biashara mkubwa wa mafuta unashangaa experience kapata wapi kumbe ni mafuta ya Irani.Ama kweli Tanzania ni zaidi ya ugali
   
 14. Crucial Man

  Crucial Man JF-Expert Member

  #14
  Aug 15, 2012
  Joined: Jan 11, 2011
  Messages: 3,277
  Likes Received: 470
  Trophy Points: 180
  Kuna mtu mmoja alisema juzi eti Rais wetu ni omba omba.Hivi ni nani yule aliyasema haya na kisha kuhojiwa kwa masaa manne police!
   
 15. Lu-ma-ga

  Lu-ma-ga JF-Expert Member

  #15
  Aug 15, 2012
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 2,843
  Likes Received: 472
  Trophy Points: 180
  Wamerekani wnatakiwa waweke mkono wao mpaka kwenye chaguzi zetu 2015, hawa ccm wamekuwa wakifadhiriwa na IRAN wakati wa chaguzi, pesa haramu za Iran hazijaenza leo, najua FBI wanaingia sana JF tuko nao kila siku tunaomba waelewe kuwa wa-iran hawajaanza leo, ukiangalia vitu vyote vya mafuta pembeni kuna msikiti why>????? mbona kanisa hamna pembeni yake??? ina maana mafuta hayo ni kwa muslim pekee????? fbi fungueni macho cunhguzeni na vituo nchi yetu ni kituo kikuu cha IRAN
   
 16. Edson

  Edson JF-Expert Member

  #16
  Aug 15, 2012
  Joined: Mar 7, 2009
  Messages: 9,202
  Likes Received: 721
  Trophy Points: 280
  hili dubwana CCM halifai.
   
 17. sajosojo

  sajosojo JF-Expert Member

  #17
  Aug 15, 2012
  Joined: Apr 14, 2010
  Messages: 817
  Likes Received: 113
  Trophy Points: 60
  Sijawahi kuona faida ya kuungana na zanzibar kila siku wao ni majanga kwetu ya sasa wamechuma hili janga vikwazo vinakuja kwetu
   
 18. Kiranga

  Kiranga JF-Expert Member

  #18
  Aug 15, 2012
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 34,607
  Likes Received: 6,189
  Trophy Points: 280
  Kichwa tofauti na habari. Jamani jifunzeni kusoma na kuelewa.

  Mie ingawa sipendi mambo mengi ya serikali ya TZ, naipongeza kwa kuuona ukali wa moto huu na kunywea mapema.
   
 19. Elli

  Elli JF-Expert Member

  #19
  Aug 15, 2012
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 26,828
  Likes Received: 10,137
  Trophy Points: 280
  Wabongo tumekubali fasta kuziondolea registration [pamoja n amkwara wote ule tulipoiga kumbe ni bure tu!!!
   
 20. saragossa

  saragossa JF-Expert Member

  #20
  Aug 15, 2012
  Joined: Jan 3, 2011
  Messages: 2,141
  Likes Received: 148
  Trophy Points: 160
  Kiranga, tatizo sio kunywea baada ya moto kuwa mkali, tatizo ni kwanini tulilianzishaaa??? Does it mean viongozi husika hawakuliona hilo au ni UZUZU wao???
   
Loading...