Congratulations MD UDSM for this the best is yet to come

Congratulations MD UDSM for this the best is yet to come

Mshindi wa pili presentation ni UDSM na wa tatu ni SJCHAS.
[quote uid=276208 name="Nandi jr" post=19989353]Mkuu kulikuwa na event iliyoandaliwa na chuo cha St. Joseph kwa kushirikiana na Ocean Road Cancer Institute. Kulikuwa na presentation kuhusu Cancer na vyuo sita vilipata mwaliko kuhudhuria event hiyo. Washindi walijuwa kwenye upande wa prese tation UDOM imeshika nafasi ya kwanza ikifuatiwa na UDSM na nafasi ya tatu ikichukuliwa na St. Joseph na kwa upande wa Quiz St. Joseph imeshika nafasi ya kwanza ikifuatiwa na IMTU na nafasi ya tatu imechukiliwa na UDOM. Vyuo vilivyoshiriki ni St. Joseph, IMTU, KAIRUKI, MUHAS, UDSM na UDOM.[/QUOTE]
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom