Congratulations MD UDSM for this the best is yet to come

Capitalistic

Member
Jul 25, 2016
11
2
51e4d8653e45eb9823f251aed0e0cbb5.jpg
 
Hata sijaelewa hoja ya mleta mada. Certificate bila context sidhani kama inasaidia wasomaji wa uzi wako, unless kama nimepitwa na wakati. Communication skills naona zinamatatizo.
 
Wewe ndiye unaetakiwa urudi shuleni. Huwezi kuweka kitu bila maelezo ukafikiri ulicho weka kinajieleza chenyewe. Cancer challenge ni kitu gani? Washindani walikuwa wakina nani? Ilifanyika wapi ? na kadhalika. Ninachosema -umeshindwa kufikisha ujumbe.
Mkuu kulikuwa na event iliyoandaliwa na chuo cha St. Joseph kwa kushirikiana na Ocean Road Cancer Institute. Kulikuwa na presentation kuhusu Cancer na vyuo sita vilipata mwaliko kuhudhuria event hiyo. Washindi walijuwa kwenye upande wa prese tation UDOM imeshika nafasi ya kwanza na kwa upande wa Quiz St. Joseph imeshika nafasi ya kwanza ikifuatiwa na IMTU na nafasi ya tatu imechukiliwa na UDOM.
 
Mkuu kulikuwa na event iliyoandaliwa na chuo cha St. Joseph kwa kushirikiana na Ocean Road Cancer Institute. Kulikuwa na presentation kuhusu Cancer na vyuo sita vilipata mwaliko kuhudhuria event hiyo. Washindi walijuwa kwenye upande wa prese tation UDOM imeshika nafasi ya kwanza ikifuatiwa na UDSM na nafasi ya tatu ikichukuliwa na St. Joseph na kwa upande wa Quiz St. Joseph imeshika nafasi ya kwanza ikifuatiwa na IMTU na nafasi ya tatu imechukiliwa na UDOM. Vyuo vilivyoshiriki ni St. Joseph, IMTU, KAIRUKI, MUHAS, UDSM na UDOM.
 
Mkuu kulikuwa na event iliyoandaliwa na chuo cha St. Joseph kwa kushirikiana na Ocean Road Cancer Institute. Kulikuwa na presentation kuhusu Cancer na vyuo sita vilipata mwaliko kuhudhuria event hiyo. Washindi walijuwa kwenye upande wa prese tation UDOM imeshika nafasi ya kwanza na kwa upande wa Quiz St. Joseph imeshika nafasi ya kwanza ikifuatiwa na IMTU na nafasi ya tatu imechukiliwa na UDOM.
Ahsante kwa maelezo. Sasa mleta mada alitakiwa atupe hii background halafu aeleze UDSM wameshinda nini na aunganishe na hicho cheti. Sasa yeye anaweka cheti tu akiulizwa anasema anauliza arudi shule!!!! Maajabu kweli, au anafikiria kila mtu yuko aware na hiyo challenge?
 
Hao ndio wasomi wetu kk,,ndalichako anapolia na ubora mueleweni,, umemuomba aeleze kwa kiswahili , vp ungeomba maelezo kwa kingereza!!
 
Rudi shule bro
Ukiwa chuoni, ulikuwa unajibu hivi. Na ukiwa unahudumia wananchi pia una majibu ya hovyo namna hii. Hivi unajua kweli kuandika taarifa za kazini kwako????
Ahsante kwa maelezo. Sasa mleta mada alitakiwa atupe hii background halafu aeleze UDSM wameshinda nini na aunganishe na hicho cheti. Sasa yeye anaweka cheti tu akiulizwa anasema anauliza arudi shule!!!! Maajabu kweli, au anafikiria kila mtu yuko aware na hiyo challenge?
 
Kuna kitu huwa najiuliza, MUHAS ni zao la UDSM, sassa leo hii imekuwaje tena UDSM kuanza kutoa program ambayo walikuwa nayo hadi kuizaa MUHAS, au ni kuona wivu kuwa mtoto kafanikiwa zaidi? Hivi kwani ni lazima Chuo kiwe na programs zote?
Nawaza tu
 
Mkuu kulikuwa na event iliyoandaliwa na chuo cha St. Joseph kwa kushirikiana na Ocean Road Cancer Institute. Kulikuwa na presentation kuhusu Cancer na vyuo sita vilipata mwaliko kuhudhuria event hiyo. Washindi walijuwa kwenye upande wa prese tation UDOM imeshika nafasi ya kwanza na kwa upande wa Quiz St. Joseph imeshika nafasi ya kwanza ikifuatiwa na IMTU na nafasi ya tatu imechukiliwa na UDOM.
Mshindi wa pili presentation ni nani?
 
Back
Top Bottom