Congrats to January Makamba for Acting as an Executive Online!

English Learner

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2012
Posts
366
Reaction score
453
You will obviously agree with me that January is very exceptional in his online engagements. The way he posts, interacts and brings feedback puts him at an edge against the rest. See one of his this morning posts ...the boy is ahead of many others and to me he really deserved the position he got. Keep it high to standards JYM

547238_398940496823427_1912655400_n.jpg
 
Huyu jamaa hana lolote zaidi ya uchumia tumbo tuu ameshakipata alichokuwa anakitafuta kwahiyo tusitarajie makubwa kutoka kwake zaidi ya bla bla za kwenye twitter na Face book Lakini JF hawezi kutia mguu kama wenzake wa CDM
 
Try to be fair and allow your judgement to be done by an open mind ....all the time I am failing to know what exactly Tanzanian youth would consider positive from their fellow in the current regime. I am sure most youth are criticizing, condemning, and complaining in a fashion way. They do not know what they want because even when they're given they still claim what they are given is not their demand!

Utaanziwa wapi kumsaidia mtu au kijana wa namna hii asiyejua kuwa anapewa alichohitaji?

tatizo anatumia mayai nani anamuelewa ndio yale yale tu..
 
Try to be fair and allow your judgement to be done by an open mind ....all the time I am failing to know what exactly Tanzanian youth would consider positive from their fellow in the current regime. I am sure most youth are criticizing, condemning, and complaining in a fashion way. They do not know what they want because even when they're given they still claim what they are given is not their demand!

Utaanziwa wapi kumsaidia mtu au kijana wa namna hii asiyejua kuwa anapewa alichohitaji?
Amekutuma nini? kijana mdogo ana act Uzee mwisho wake 2015 mbona hatuwalaumu wakina Mnyika na Lissu January hafai hata ujumbe wa nyumba kumi ni mnafiki
 
wanachohitaji nikuja huku ili kupata chalenji za huku ambako unahojiwa na watu wanaokujua zaidi na kulenga weakness zako tu so mwambie aje huku tuone cheche zake..
 
I'm not a messenger of any politician..may be Jesus if He is a Politician.

When did that regulation that stop to comment others for the good works or achievements simply because we do not have working or close relationships pass? I wonder and I'm curious to know!

Amekutuma nini? kijana mdogo ana act Uzee mwisho wake 2015 mbona hatuwalaumu wakina Mnyika na Lissu January hafai hata ujumbe wa nyumba kumi ni mnafiki
 
wanachohitaji nikuja huku ili kupata chalenji za huku ambako unahojiwa na watu wanaokujua zaidi na kulenga weakness zako tu so mwambie aje huku tuone cheche zake..

Mkuu ndetichia huyu English Learner huenda ndio january mwenyewe anaangalia upepo kama mkuu wake wa kazi anaogopa kuja na ID yake kwasababu kikosi cha kazi kitaivamia hiyo thread mpaka machozi yamtoke
 
atakuwa mwenyewe...wanasiasa bana.....angalia hata watu alio wa tag kwenye thread......

afu wabongo mbona mnapenda kupongezana kwa vitu vya kijinga?
 
Yes, I'm January who admires and support Lema, https://www.jamiiforums.com/jamii-photos/274640-heko-lema-siasa-kispoti-spoti.htmla

Devout Christian by faith
I'm not a messenger of any politician..may be Jesus if He is a Politician.....

By using all your senses, intelligent quotient and logic how come you fail in a simple see-and-judge exam like differentiating English Learner against January Makamba?

The English of January is very standard, personalized and easy to track.

Mkuu ndetichia huyu English Learner huenda ndio january mwenyewe anaangalia upepo kama mkuu wake wa kazi anaogopa kuja na ID yake kwasababu kikosi cha kazi kitaivamia hiyo thread mpaka machozi yamtoke

atakuwa mwenyewe...wanasiasa bana.....angalia hata watu alio wa tag kwenye thread......afu wabongo mbona mnapenda kupongezana kwa vitu vya kijinga?
 
You will obviously agree with me that January is very exceptional in his online engagements. The way he posts, interacts and brings feedback puts him at an edge against the rest. See one of his this morning posts ...the boy is ahead of many others and to me he really deserved the position he got. Keep it high to standards JYM

547238_398940496823427_1912655400_n.jpg
fb kunasifa za watoto wa waasisi wa ufisadi balaaaa,actually mie sijawahi ona hata moja la kumpongeza makanga maana mchango wake kwa taifa sijauona ila kama anawatoa watu kama wewe ni vizuri kumpongeza kwenye jamii ya watu wanaojua mchango wake.personally naona ni upuuzi.haya yangebali huko fb ungepata suport sana.
 
CCM has a number of young potential figures such as January Makamba, Sam Malecela, Adam Malima, Ridhwan Kikwete just to mention a few:glasses-nerdy:

Sam.jpg
 
Hahaha! I hope mgosi hujaamua kujipaisha! I once wrote to u abt an issue ya wapiga kura wako na haukubother hata kunijibu. Worry out, u lost a few votes in there.
 
Watu wa HIGH SOCIETY siku zote wanataka ama sote tuwe kama wao au tuwasujudie!
 
hizi thread za kupongezana wakuu zipelekwe kwenye jukwaa husika........
 
J.Makamba, ni mpenda sifa kupitia mitandao, jamaa ni kilaza mbaya, atakuja angushwa kama Masha tu! Haiwezekani mtu na akili zako zote utoe hoja binafsi bungeni eti wananchi wanateseka lipia kodi za nyumba kwa mwaka or miezi 6! Nlimshangaa sana jamaa, yani gharama za ujenzi zilivyo juu leo umwambia mmiliki wa nyumba apangishe kwa mwezi mwezi! Atleast angekuja kuliambia bunge NHC iwezeshwe ijenge watu wapange! Naomba M4C itinge bumbuli!
 
I dont get the POINT grrrrrrrrrrrrrrrrr
 
Back
Top Bottom