East African Eagle
JF-Expert Member
- Jul 26, 2013
- 3,759
- 2,209
Nashukuru Kwa Kunielewa na Huyo Mtoto Amewakaribisheni Kulinda Amani Kwake ili Ajue Mbinu Zetu na Hadi Silaha Zetu Kisha Anawataarifu Baba Zake KK's na Sisi huku Anatutia Ndimu tu Tanzania na Tunabaki tu Kujisifu humu Kijinga na Kipumbavu Kuwa JWTZ Limewashinda M23 ilhali Majeshi Ya MONUSCO Yanaundwa na Nchi Tatu tu South Africa tena Ambao Ndiyo Wana Askari Wengi Kisha Malawi na Sisi Tanzania ambao tuna Batch ndogo Mno Ya Askari Wetu Huko Ambao Wanafika Sasa 800. Tuache Sifa za Kijinga na Kujisifu Kwani Rwanda, Uganda na Sasa Kenya Wanatudharau Mno na Sishangai Tumetengwa ktk COALITION OF THE WILLING na Kwa UMBUMBUMBU WETU Tumetumia Jazba na Hasira Kutaka Kujiunga na DRC na Burundi ambapo DRC bado Kuna Vita na Human Rights Abuse Nyingi tu Huku Burundi ikiwa bado Politically Unstable na Bado Wana Lile Kundi la Hatari La INTARAHAMWE! Hii Ni AKILI au MATOPE? Kwa Kitendo tu cha Kuanzisha New Grade System Ya Kuwa na DIVISION FIVE Kwanini Akina TRIPLE K's Wasitudharau Kwa Kuanzia Kwa Mjomba na Kumtenga na Hadi Sisi akina PANGU PAKAVU? Tunajisifia huku Wenzetu Wakipiga Hatua in Social Economical Development! Bravo Kaguta, Kagame na Kenyata and Well Done K Wa Msoga na Magogoni.
Maadamu tumeshaswaga na tunaendelea kuswaga wahamiaji haramu,Tumepiga M23 na COALITION ya kipuuzi TUMEI-SHIT, kwa sasa hizo ni salamu tosha kwako .Ruksa uliyeandika endelea kulia lia na utalia sana.Na bado.