Msumbiji pale ni kazi ya Mfaransa katoa hela na vifaa Rwanda ilitoa personel tu. Rwanda anakuwa overrated sana.Wajomba wakimchoka kagame watamtelekeza tu.Umeandika vema mkuu,Rwanda it's Israeli in the making, waasi pale Mozambique [emoji1174] wameondolewa na jeshi la Rwanda [emoji1206] sio sadc