englibertm
JF-Expert Member
- May 1, 2009
- 9,252
- 6,210
Kuna wanaume wamekimbia congo kutokana na kufanyiwa vitendo vya kunajisiwa na wanajeshi wa Congo source taarifa ya habari ya TBC1
Kuna wanaume wamekimbia
congo kutokana na kufanyiwa vitendo vya kunajisiwa na wanajeshi wa Congo
source taarifa ya habari ya TBC1
Bado kuna vita tena huko? mbona War Lord Ntaganda wameshamuweka mikononi, sasa hizi story za vita zinatoka wapi tena?