Congo inaongoza kuwa na viongozi bora wa upinzani Afrika Mashariki

MSELA WA MANZESE

JF-Expert Member
Apr 22, 2017
1,517
2,000
Kuna utafiti nimeufanya nimegundua katika nchi zilizopo Africa Mashariki nimegundua hizi ndio nchi tano pekee zenye viongozi bora wa upinzani.

1. JAMUHURI YA KIDEMOKRASIA YA CONGO
hii ndio nchi pekee wapinzani wameungana kumpinga raisi kabila lakini pia wapinzani kuikataa kushiriki katika serikali ya umoja kitaifa bila kabila kuondoka.

Wapinzani wa congo walienda mbali zaidi kusema uwepo wa mpinzani ndani ya serikali ya umoja wa kitaifa chini ya kabila ni sawa na kuwasaliti wananchi wanaompinga kabila.

2. BURUNDI - Huko nchini burundi ndiyo nchi pekee wapinzani wamejitoa muhanga kupinga muhula wa tatu wa nkurunzinza.

3. KENYA - Viongozi wa upinzani waliungana pamoja bila kujali itikadi za vyama vyao walipoungana na kudai tume huru ya uchaguzi.

Wakati nchi za wenzetu wapinzani wakiungana huku kwetu vyama vya upinzani vina migogoro vurugu ndani ya vyama mara kuna fukuza fukuzaa duu.
 

chinembe

JF-Expert Member
May 16, 2015
5,559
2,000
Tangu lini msela wa manzese akajua jiografia,manzese kukaba na roba za mbao ndio zenu

Kongo haiko afrika mashariki,ukitumia madawa ya kulevya hayawezi kukuacha salama
 

Allelujah

JF-Expert Member
Mar 9, 2017
456
500
Una mawazo mazuri.....ila ungetulia ungetupostia uzi mzuri zaidi..Ahsante anyway...
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom