Congo Diaspora of United States

Congo Diaspora of United States

Bullshit

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2016
Posts
1,369
Reaction score
1,641
Tunaipenda nchi yetu na africa kwa jumla ndo neno la msingi tunapaswa kusema kwa hatua mbali mbali tunazofanya juu ya nchi yetu.

Tunachukua nafasi hii kumshukuru mungu kutuwezesha kufika hapa tulipo,kufikia malengo yanayoitajika kwa ndugu zetu wenye maitaji mahalumu na mashirika mbali mbali yenye kujitolea kuweka mikataba kadha kwa ajili ya watu wa nchi yetu na africa yetu.

Lengo letu ni kusaidia vijana wetu kuwa na uwezo wa kujitegemea, kushirikia na jamii kwa shughuli za maendeleo mbali mbali ya taifa letu,kutoa elimu ya ujasiriamali nk...,ilimradi vijana wetu kufikia malengo yao na kutimiza ndoto zao.

Kufikia makubaliano na taasisi mabli mbali au kutafuta mashirika ya kutuwezesha kufikia malengo yetu sio kazi raisi na makubaliano hayafikiwi kiraisi,njia ni ngumu nani kazi tunayoifanya kwa kujitolea.

Taarifa muhimu ni kwamba tuko njiani kuunda shirika rasmi na kutoa ajiri kwa watakaofanya kazi kwa shirika hilo. Na ajira zitaolewa kwanza kwa raia wa congo ili kuwezesha utendaji kazi wa shirika Husika. Tuna lengo la kuweka matawi yetu africa nzima na waajiriwa watahusika kwa watu wa eneo husika.

NB: Tunapokea michango ya mawazo yenu,kama una wazo lolote la kutusaidia nini tufanya kufikia malengo
 
Back
Top Bottom