Rwanda inajikomba kwa Tz. Nataka raisi ajae atimue watutsi wote tanzania
Huh! Hivi bado kuna watu wenye chuki za hivi Miaka hii?Rwanda inajikomba kwa Tz. Nataka raisi ajae atimue watutsi wote tanzania
JWTZ YAPELEKA KILIO RWANDA
*Yakamata maofisa wake wanne wa Kijeshi
*M-23 wakiri majeshi ya UN ni hatari yatawamaliza
ASKARI wa Umoja wa Mataifa wanaolinda amani nchini Kongo (Monusco), wakiongozwa na vikosi vya Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ), wamedai kuwakamata maofisa wanne wa jeshi la Rwanda, katika mapigano ya wiki iliyopita nchini Kongo.
Akizungumza na MTANZANIA Jumatano kwa sharti la kutotajwa jina, mmoja wa askari aliyepo ndani ya kikosi cha JWTZ huko nchini Kongo, alisema maofisa hao wanashikiliwa kwa mahojiano zaidi.
Taarifa hizi za sasa zinakuja wakati ambapo kumekuwa na madai ya muda mrefu, ambayo yamekuwa yakitolewa na Umoja wa Mataifa pamoja na Marekani kwamba, Rwanda imekuwa ikiwasaidia waasi wa kundi la M-23.
Pamoja na kwamba Rwanda imekuwa ikipinga madai hayo, kitendo chake cha wiki iliyopita cha kuamua kupeleka bataliani mbili zenye wanajeshi 1,700 ili kukabiliana na kile kinachodaiwa kuwa ni kishindo cha vikosi vya Umoja wa Mataifa vyenye jukumu la kulinda amani katika taifa hilo lenye utajiri mkubwa kirasilimali, kinatokana na waasi wa M23 kupata kipigo kikali.
Chanzo chetu hicho kutoka uwanja wa mapambano nchini Kongo, kililidokeza gazeti hili kuwa maofisa hao wa Jeshi la Rwanda waliwakamata katika mapigano hayo yaliyodumu kwa zaidi ya wiki moja, ambayo tayari yamewakimbiza waasi wa M23.
Askari wa Rwanda tuliowakamata, ni maofisa wa ngazi za juu kabisa jeshini, tena walikuwa na sare za jeshi hilo walikuwa wakiwasaidia hao M23, lakini kwa kuwa sisi tulikuwa makini tulifanikiwa kuwatandika hadi tukawakamata, kilisema chanzo chetu hicho.
Habari za uhakika kutoka vyanzo vya habari vya kuaminika zinaeleza kwamba, hatua hiyo ya kuwakamata maofisa hao pamoja na kuondoka kwa waasi wa kikundi cha M23, imefanikisha kushinda vita hiyo kwa zaidi ya asilimia 95.
Mtoa taarifa wetu huyo kutoka Kongo, ameliambia gazeti hili kuwa, tayari Monusco wanaoongozwa na JWTZ wameanza kufurahia ushindi huo na kwamba sasa hivi wanasubiri tamko kutoka kwa wakuu wao, ili kufahamu kinachofuata baada ya kufanikisha hatua hiyo.
cc mchambawima1, MK254, jMali
Rwanda inajikomba kwa Tz. Nataka raisi ajae atimue watutsi wote tanzania
Huh! Hivi bado kuna watu wenye chuki za hivi Miaka hii?
Kwa hiyo kwako tatizo kubwa ni watutsi? Weusi wenzako kuliko wahindi wanao kupa kazi ya udereva halafu mtoto akijinyea wanakuambia uende tawaza makundu ya ile matoto... Again ujinga ni sawa na mauti.
Children lured from Rwanda to fight with Congo rebels[m23]: U.N.
(Reuters) - A third of child soldiers who have escaped from Congolese rebel group M23 were lured from neighboring Rwanda with promises of cash, jobs and education, the United Nationssaid on Saturday.
Some M23 child soldiers received training from the Rwandan Defence Force for up to two weeks before being handed over to the rebel group, with some of the children believing mistakenly that they were joining the Rwandan army, the chief of child protection at the U.N. peacekeeping mission in the country said.
U.N. experts have repeatedly accused Rwanda of backing the 18-month-long M23 insurgency in eastern Congo, a charge the Rwandan government has fiercely rejected. The roots of the Tutsi-dominated rebellion lie in the 1994 genocide in Rwanda, where Hutu troops killed 800,000 Tutsis and moderate Hutus.
Since the rebellion began, the U.N. peacekeeping mission in Congo - known as MONUSCO - has interviewed 117 boys who were recruited by M23 and found 37 of them were Rwandan.
There are still a couple of hundred children among the M23 ranks, MONUSCO's chief of child protection Dee Brillenburg Wurth told reporters in Kinshasa during a visit by U.N. Security Council ambassadors to the Democratic Republic of Congo.
She said four of the boys said they received military training by the Rwandan Defence Force in Rwanda at camps in Bigogwe, Ruhengeri-Nyarubanda and at the former university campus in Mundende before they were handed over to M23.
"(They were given) very, very sophisticated training, very serious training, some of them by Rwandans. They said some of the trainers had Rwandan uniforms on," said Brillenburg Wurth.
"Some of (the children) thought they were being recruited in the Rwandan Defence Force and they were trained in Rwanda and then they found themselves ... in Congo," she said, adding that cash rewards, education and job opportunities were also used to recruit groups of children in Rwanda.
Brillenburg Wurth said the ages of the child soldiers ranged from 11 to 17 and most were aged 15, 16 or 17. She said some children told how they had been recruited by a football coach and a police officer, who were earning $5 per child.
The United States, which has called on Rwanda to drop its support for the M23 rebels, stepped up its pressure on Kigali last week by moving to block military aid over the recruitment of M23 child soldiers in its territory.
DISOBEY AND DIE
The former M23 child soldiers said they were regularly posted on the frontline and saw many other children killed.
"Within the group there is an extremely tough hierarchy and discipline. People who didn't obey orders were just killed. One child told how he had to kill two adults who had done some infraction," Brillenburg Wurth said.
Among several M23 officers accused by the former child solders of recruiting, torturing and killing children are Innocent Zimurinda and Baudouin Ngaruye, who are both subject to a U.N. travel ban and asset freeze.
The United Nations has said Zimurinda and Ngaruye fled to Rwanda in March with fellow officers Jean-Marie Runiga and Eric Badege, also under U.N. sanctions, after M23 suffered a violent internal split. They escaped with warlord Bosco Ntaganda who was defeated by rival M23 commander Sultani Makenga.
In July the Congolese government issued international arrest warrants and extradition requests to the Rwandan government for the four men on charges of commission of war crimes and crimes against humanity, the United Nations said.
The U.N. Security Council delegation, which includes U.S. Ambassador Samantha Power and British Ambassador Mark Lyall Grant, is due to travel to Rwanda on Sunday, where they plan to discuss how former M23 combatants who fled to Rwanda can be dealt with in accordance with relevant international law.
The United States last week partially blocked military aid to Congo over the issue of child soldiers.
Brillenburg Wurth expressed surprise at Washington's decision regarding the Democratic Republic of Congo, which last year signed an action plan with the United Nations to stop and prevent recruitment of child soldiers.
"There have been huge results... They don't recruit children any more. There's been zero tolerance," she said.
(Editing by Tom Pfeiffer)
cc mchambawima1, MK254, jMali
hii inastahili thread yake kabisa. cc nyumba kubwa
..mlizoea kuwaonea Wacongo, sasa tutawasafisha wote.
..hakuna cha M23, wala FDLR, wote tutatimulia mbali.
..sasa muanze kuandaa makazi kwa FDLR kama mlivyofanya kwa wale jamaa zenu wa Operation Kimbunga.
cc MK254
OMG! so what happened to them after crossing the boarder in to DRC? didn't know that in this jamiiforum, stupid people to this extent do really exist!!! sometimes you need to respect your fellow members here... how can someone believe this nonsense if there is no single RDF soldier captured alive or shot dead inside DRC? was Monusco in a holiday when RDF soldiers were crossing?
OMG! so what happened to them after crossing the boarder in to DRC? didn't know that in this jamiiforum, stupid people to this extent do really exist!!! sometimes you need to respect your fellow members here... how can someone believe this nonsense if there is no single RDF soldier captured alive or shot dead inside DRC? was Monusco in a holiday when RDF soldiers were crossing?
Tulia kijana....
Usitokwe na povu...
Tutakuletea ushahidi wa ndugu zako tuliowakamata wako wa hai.
Halafu uongee na kagame .. na uMwambie akome kuwalaghai watoto kujiunga na jeshi... ni uvunjaji mkubwa sana wa haki za watoto..... Mungu atamlaani ili naye afe Halafu watoto wake watumikishwe .... anawaonea kwa kuwa ni yatima!!?? Inasikitisha sana....
hii inastahili thread yake kabisa. cc nyumba kubwa
M23 ni watusi halisi na ni kitengo cha jeshi la rwanda ambao wamepewa jukumu la kuiba raslimali za drc. M23 sio kundi la waasi bali ni jeshi la rwanda chini ya kamanda kagame. Baada ya kupigwa na JWTZ wamerudi kwao Rwanda.JokaKuu unajuwa ujinga ni sawa na mtu aliyekufa kwani haelewi kinachoendelea bali ni huzuni na masikitiko kwa ndugu na jamaa zake! Sasa huu utumbo unao nijibu, walikulisha halafu na wewe ukauamini?